Okay ni hivi, mimi nachukulia serious kila kitu unacho post hapa kuhusu kui hype jeshi la N. korea kuonesha kweli ni tishio kwa USAVitu gani nimevitaja bongo vipo? Hebu orodhesha hapa au na wewe umeanza kuwa mbeya?
Tunaongelea silaha walizobeba mdogo wangu au huoni?Okay ni hivi, mimi nachukulia serious kila kitu unacho post hapa kuhusu kui hype jeshi la N. korea kuonesha kweli ni tishio kwa USA
Mfano kupost wanajeshi wakiwa wapo kwenye gwaride, kuna u-special gani kwenye hilo?
Baada ya kuona picha ya hao wanajeshi wakiwa kwenye gwaride halafu ukaambatanisha na mkwara.Sasa sijakuelewa. Neno lako la migambo limetoka wapi? Unajua maana ya parade?
North Korea hawezi kufua dafu hata kwa South KoreaJamaa awataki ujinga U.S siku akijichanganya atashinda vita ndio ila chamoto atakiona.
Sasa unataka nikusaidie nini mdogo wangu maana unaumia kwa ndani sijajua shida iko wapi.Baada ya kuona picha ya hao wanajeshi wakiwa kwenye gwaride halafu ukaambatanisha na mkwara.
Swala la Millitary parade hata Senegal linafanywa so sioni connection yeyote kuhusisha jambo hilo na kitisho dhidi ya USA
Uongo mdogo wangu. Nenda shule upyaNorth Korea hawezi kufua dafu hata kwa South Korea
Niliku reply kwa picha ya mwanajeshi wa JWTZ akiwa amebeba silaha uliona?Tunaongelea silaha walizobeba mdogo wangu au huoni?
Wewe kama unaona hao South Korea wanauwezo mbona wameshindwa kujilinda wenyewe mpaka wanaomba THAAD toka USA?Niliku reply kwa picha ya mwanajeshi wa JWTZ akiwa amebeba silaha uliona?
Wakurya kwa kupenda ukubwa tu siwawezi.Uongo mdogo wangu. Nenda shule upya
Russia aliomba drones kwa Iran kumbe naye alikuwa hajiweziWewe kama unaona hao South Korea wanauwezo mbona wameshindwa kujilinda wenyewe mpaka wanaomba THAAD toka USA?
Hii ni homa ya jiji toka NK
View attachment 2752670
View attachment 2752671
Kwa sababu gani ?North Korea hawezi kufua dafu hata kwa South Korea
South Korea mwepesi sana kwa North.North anamakombora ambayo South Korea hana.North Korea hawezi kufua dafu hata kwa South Korea