Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Okay ni hivi, mimi nachukulia serious kila kitu unacho post hapa kuhusu kui hype jeshi la N. korea kuonesha kweli ni tishio kwa USAVitu gani nimevitaja bongo vipo? Hebu orodhesha hapa au na wewe umeanza kuwa mbeya?
Mfano kupost wanajeshi wakiwa wapo kwenye gwaride, kuna u-special gani kwenye hilo?