Lijue Jeshi la North Korea - Uwezo wake na Nguvu zake. Kwanini USA wanaliogopa?

Lijue Jeshi la North Korea - Uwezo wake na Nguvu zake. Kwanini USA wanaliogopa?

Vitu gani nimevitaja bongo vipo? Hebu orodhesha hapa au na wewe umeanza kuwa mbeya?
Okay ni hivi, mimi nachukulia serious kila kitu unacho post hapa kuhusu kui hype jeshi la N. korea kuonesha kweli ni tishio kwa USA

Mfano kupost wanajeshi wakiwa wapo kwenye gwaride, kuna u-special gani kwenye hilo?
 
Pon’gae-5​

1694971479953.png

1694971491022.png
 
Mada nzuri sana hii.
Noko wako mbali sana kijeshi.
Kwa uwezo wao huo wa kijeshi,hawatakaa waonewe hata siku moja.
Nchi imewekewa vikwazo vingi kwa mda mrefu halafu inaweza kufanya maajabu namna hii.
Haya ni mambo ya kuogofya mno.
Kuna mambo nayajua kuhusu Noko ila sitaweza kuyasema humu kwa sababu ninazozijua mwenyewe.
Nawaheshimu watu Hawa.
 
Sasa sijakuelewa. Neno lako la migambo limetoka wapi? Unajua maana ya parade?
Baada ya kuona picha ya hao wanajeshi wakiwa kwenye gwaride halafu ukaambatanisha na mkwara.

Swala la Millitary parade hata Senegal linafanywa so sioni connection yeyote kuhusisha jambo hilo na kitisho dhidi ya USA
 
Sasa unataka nikusaidie nini mdogo wangu maana unaumia kwa ndani sijajua shida iko wapi.
 
Back
Top Bottom