Lilian Lema amesomeshwa shule za gharama ila anaumiza sana wazazi

Kama uko sawa kwa mtoto kufanya anachofanya huyo binti uko sawa na unachoamini
This logical fallacy is called logical non sequitur.

Yani unalazimisha mtu kwamba kama kakataa binti yake asiolewe na Mmakonde, basi akataze mabinti wa dunia nzima kuolewa na wamakonde.

It is a ridiculously disjointed illogic.
 
Sojadili Lilian Lema. Najadili dhana ya mtu binafsi kuachiwa awe huru kuamua mambo yake binafsi kwenye maisha yake.

Ila, watu wenye fikra fupi hawawezi kujua tofauti.
Uzi unamuhusu lilian penda kujikita kwenye uzi
Kila mtu ana uhuru wa kuamua mambo yake ila ana mipaka binadamu hana uhuru huo ambao unataka kuaminisha watu
 
Huyo jamaa ni mjinga sana ndo maana nimemwambia uhuru unamipaka dunian kote
 
Mbona hao mashangazi kibao hamuwadiscuss?Ukiona wanababa na ndevu zenu mnamdiscuss kaja kivingine!Ana Kitu
I hope binti yako unae msomesha EM atakuja kuwa kungwi. All the best. Najua kimoyomoyo unasema " shindwa "
 
Kuuza inshu ndio mpango mjini...
Siku hizi inshu inauzwa kisomi! Na wasomi!

Insta papa inauzwa aisee!... Na watoto wa 2000's

Ukiwa msomi kidogo na mbunifu wa content...insta unauza papa kwa bei iliyochangamka!.
 
Hii logical fallacy inaitwa "argument from tradition".

Ungeshikilia hii kanuni, hata kusoma na kuandika usingejua.

Maana jamii zetu zilikuwa na utamaduni wa hadithi na nyimbo, hatukuwa na utamaduninwa kusoma na kuandika.

Wewe kuwapo hapa JF na kuandika tu ninushahidi kwamba hata wewe hufuatilii kanuni yako ya "kwenda na utamaduni wetu".

Unaitumia hoja hii kama geresha tu, whether unajua hilo au hujui.
 
I hope binti yako unae msomesha EM atakuja kuwa kungwi. All the best. Najua kimoyomoyo unasema " shindwa "
Kasema atamwacha hawezi muingilia ni mamauzi yake
Assume ndo mzazi ana mentality kama hii ndo maana hiki kazazi kina mambo ya hovyo mengi sana sababu wazazi wenyewe ndo kama hawa
 
😂😂😂Utafikiri muda wote wanabalehe,Kwa hiyo ni kwenda nao sawa tu
 
Kama kawaida yako umehamisha magoli
 
Uzi unamuhusu lilian penda kujikita kwenye uzi
Kila mtu ana uhuru wa kuamua mambo yake ila ana mipaka binadamu hana uhuru huo ambao unataka kuaminisha watu
Na bahati nzuri hiyo mipaka huiweki wewe. Ungeiweka wewe dunia ingekuwa iko nyuma sana kimaendeleo.
 
Angefanya huo ukungwi bila elimu unadhani angekuwa talk of the the town?anakulia bundle hapa uko busy kumdiscuss
 
Wewe ndiye una fikra fupi hujui kufuatilia mada kimantiki, nikizama kwa kina kimantiki, unaona nimehamisha magoli.

Kwa sababu huna uwezo wa kufanya fikra ndefu kimantiki.
Hiyo umesema wewe mtu yeyote mwenye akili timamu akisoma conversation yangu mimi na wewe ataona wewe ndo kilaza
 
Kifupi Binti kawashangaza,hawakutegemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…