kabisa, ccm waturudushie viwanja vyetuNaunga mkono hoja...na sasa bila kusita serikali ianze kufikiria kuwa na viwanja vya kisasa kwenye kanda zote za Tanzania na ikiwezekana tuombe haraka iwezekanavyo kuandaa kombe la Africa kwa mara ya kwanza , ndani ya utawala wa awamu ya tano..inawezekana tukiamua.."Hapa kazi tu"
mleta umbea anatumia akili ya kushikiwaCCM wananyang'anya watu maeneo yao kupitia mgongo wa serikali kujitaftia kura 2020,Wengine kesi ziko mahakamani lakini wao hawajali, wanalipa visasi kutuliza makovu yao ya kisiasa.
Sasa nao warudishe viwanja vyote wanaomiliki ambayo kiasili na kiuhalali ni Mali za uuma. Vipo viwanja vingi vya mpira wa miguu wanamiliki ccm vinajiotea nyasi havijaendelezwa.
CCM wanasahau kua hata Ofisi yao ya Lumumba wanayomiliki ilikua Ofisi ya TANU ambayo ilijengwa kwa jasho la watanzania wote, kiuhalali sio ofisi yao lakini wanajimilikisha kwa mambavu.
Ukifuatilia Yale maeneo yote upanga ya umoja wa vijana yanayojengwa maghorofa chanzo cha umiliki ni miikono ya umma na sio Mali ya chama.
Tuseme kua iko siku haya wanayoyafanya yatawaliza, ni suala la muda tu.
Any way, hatujui hati ya umilikaji wa hilo jengo Lumumba iko vipi. Lakini sina uhakika kama hapa Baba wa Taifa alicheza mchezo usio julikana. Namwamini sana yule jamaa.CCM wananyang'anya watu maeneo yao kupitia mgongo wa serikali kujitaftia kura 2020,Wengine kesi ziko mahakamani lakini wao hawajali, wanalipa visasi kutuliza makovu yao ya kisiasa.
Sasa nao warudishe viwanja vyote wanaomiliki ambayo kiasili na kiuhalali ni Mali za uuma. Vipo viwanja vingi vya mpira wa miguu wanamiliki ccm vinajiotea nyasi havijaendelezwa.
CCM wanasahau kua hata Ofisi yao ya Lumumba wanayomiliki ilikua Ofisi ya TANU ambayo ilijengwa kwa jasho la watanzania wote, kiuhalali sio ofisi yao lakini wanajimilikisha kwa mambavu.
Ukifuatilia Yale maeneo yote upanga ya umoja wa vijana yanayojengwa maghorofa chanzo cha umiliki ni miikono ya umma na sio Mali ya chama.
Tuseme kua iko siku haya wanayoyafanya yatawaliza, ni suala la muda tu.
Aisee Chadema kweli akili zimewaruka haya yarudisheni na magari yote ya chadema serikalini kwa kuwa yamenunuliwa kwa pesa za watanzania wote walipa kodi Mlizopewa Kama ruzuku kwa nini myahodhi na kuyatumia peke yenu? Tukiwaambia chadema hamna akili mtabisha.Kweli kabisa!
Sio tu kushikwa Hana akili kabisamleta umbea anatumia akili ya kushikiwa
Sio kosa kwa CCM kuwa na mali ilizojengewa na kupewa na Wanachama wake tangu kipindi cha Awamu ya kwanza na ya Pili. Nisema tu na mimi nikiwa Mwanachama wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Tulifanya harambee na Misaragambo mingi tukijenga ofisi za Chama na Viwanja vya Chama. Hata uwanja wa Jamhuri pale Morogoro nakumbuka tukiwa chipukizi tulienda kuwahamasisha wenzetu katika ukejenzi wake. Leo nikiona mtu tena ninyi vijana wadogo mnashabikia wapotoshaji wanaodai CCM irudishe mali zake kwa kigezo kuwa ni za umma nawashangaa sana kwani mnachofanyiwa ni kuwamis-inform. Kwani the so called "wananchi walijenga" ukweli wake ni wanachama wa Tanu,Afro shiraz na baadaye CCM ndio waliokuwa wakijitolea kujenga. Ikumbukwe mbali ya kuwa ilikuwa Chama kimoja bado kulikuwa na waliopinga na walikwepa kushiriki katika ujenzi wa miradi hii ya chama.CCM wananyang'anya watu maeneo yao kupitia mgongo wa serikali kujitaftia kura 2020,Wengine kesi ziko mahakamani lakini wao hawajali, wanalipa visasi kutuliza makovu yao ya kisiasa.
Sasa nao warudishe viwanja vyote wanaomiliki ambayo kiasili na kiuhalali ni Mali za uuma. Vipo viwanja vingi vya mpira wa miguu wanamiliki ccm vinajiotea nyasi havijaendelezwa.
CCM wanasahau kua hata Ofisi yao ya Lumumba wanayomiliki ilikua Ofisi ya TANU ambayo ilijengwa kwa jasho la watanzania wote, kiuhalali sio ofisi yao lakini wanajimilikisha kwa mambavu.
Ukifuatilia Yale maeneo yote upanga ya umoja wa vijana yanayojengwa maghorofa chanzo cha umiliki ni miikono ya umma na sio Mali ya chama.
Tuseme kua iko siku haya wanayoyafanya yatawaliza, ni suala la muda tu.
Sio kosa kwa CCM kuwa na mali ilizojengewa na kupewa na Wanachama wake tangu kipindi cha Awamu ya kwanza na ya Pili. Nisema tu na mimi nikiwa Mwanachama wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Tulifanya harambee na Misaragambo mingi tukijenga ofisi za Chama na Viwanja vya Chama. Hata uwanja wa Jamhuri pale Morogoro nakumbuka tukiwa chipukizi tulienda kuwahamasisha wenzetu katika ukejenzi wake. Leo nikiona mtu tena ninyi vijana wadogo mnashabikia wapotoshaji wanaodai CCM irudishe mali zake kwa kigezo kuwa ni za umma nawashangaa sana kwani mnachofanyiwa ni kuwamis-inform. Kwani the so called "wananchi walijenga" ukweli wake ni wanachama wa Tanu,Afro shiraz na baadaye CCM ndio waliokuwa wakijitolea kujenga. Ikumbukwe mbali ya kuwa ilikuwa Chama kimoja bado kulikuwa na waliopinga na walikwepa kushiriki katika ujenzi wa miradi hii ya chama.
Tulipoingia kwenye mfumo wa vyama vingi ilikuwa ni hiyari Mtanzania uchague kubaki kwenye chama ambacho tayari kina mfumo na miundombinu ama uende kwenye chama kipya kinachoanza na kutafuta kujiimarisha na kujenga miundombinu yake. Hivyo wengi wanaolalamika ni hao ambao hawaweki kipaumbele kujenga miundombinu hata kwa kuwahamaaisha wanachama wake ili wajitolee. Wao fedha wanayopata inachorewa slogan na kupiga hela zizame.mifukoni mwa viongozi huku wanachama.mkikosa majibu ya msingi juu ya maendeleo ya vyama vyenu
Umo kati ya wale wapumbavu waliotajwa na JPM!!Aisee Chadema kweli akili zimewaruka haya yarudisheni na magari yote ya chadema serikalini kwa kuwa yamenunuliwa kwa pesa za watanzania wote walipa kodi Mlizopewa Kama ruzuku kwa nini myahodhi na kuyatumia peke yenu? Tukiwaambia chadema hamna akili mtabisha.