Lini Viwanja vinavyomilikiwa na CCM vitakuwa chini ya umiliki wa Serikali Kuu au Halmashauri husika?

Lini Viwanja vinavyomilikiwa na CCM vitakuwa chini ya umiliki wa Serikali Kuu au Halmashauri husika?

CCM Kama chama tawala pekee kilipewa ruzuku na serikali na kuchangiwa na Wafadhili wa Ndani na nje Wanachama Na wasio wanachama WA Ndani ya nchi na nje ya nchi kwa kippesa kimali na kiardhi Kama ambavyo mfumo wa vyama vingi chadema inachangiwa na serikali kwa ruzuku na kuchangiwa kimali kipesa na kiardhi na kimajengo na wanachadema na wasio chadema wa Ndani na nje ya nchi. Mleta hoja lofa na wanaounga mkono mabwege na malofa iwe chini ya mfumo wa chama kimoja au vingi.mleta hoja hoja zake za kibwege na kijinga

Unajua kwanini umeweka matusi na jazba za wazi, hoja zako ni za kulazimisha kwa kuwa ukweli uko dhahiri. Tunajua hamuwezi kurudisha sasa kwani ccm ndiyo inayotawala nchi, ila uwezekano wa kurudisha huko mbele ni mkubwa sana. Mtabaki na mali mlizojipatia kwa michango na jitihada za ccm tu sio zaidi ya hivyo.
 
Ukiona matusi tu ujuwe hakuna hoja tena, au yawezekana maskini akili yake imefikia hapo kufikiria, ila kiukweli hivi viwanja vingi mitaani hasa vya mipira au vilivyo wazi ambavyo vingi vinatumika kama kulaza magari usiku, vyatakiwa kuhakikiwa, kwanza hata vijana waliacha cheza mipira kisa vingine kugeuzwa magereji n.k.
Wengine tungependa kujuwa hasa vipi ni vya chama tawala na vipi ni vya serikali za mitaa..
 
Wanawanyanganya maeneo ya wale ambao ni wapinzani tu....

Ova
Lete orodha ya hizo mali na wamiliki wake, na ikiwezeka na kadi zao za vyama vya upinzani. Tukianzia na yale mashamba yaliyonyang'anywa mkoani Tanga. Na ukishidwa ujijue kuwa wewe ni mropokaji tu usie jua usemalo. Hata hivyo hizo mali hazichukuliwi na Serikali, watapewa Watanzania wengine watakaoweza kuviendeleza. Usilalamike kama una uwezo wa kuendeleza hizo mali nenda kaombe na ukinyimwa lete mrejesho hapa kuwa katika mchakato wa kugawa hizo mali kigezo unatoka chama gani cha siasa kilikuwepo. JKT wamenyang'a shamba pale Kabuku, unataka kutuambia JKT ni wapinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kifupi nikwambie Mimi nina akili nyingi mno siwezi bishana na bwege Kama wewe it is wastage of my brain resources. I won't comment your post forever You are not my equal sorry for replying you

Mkuu hata mke wako huwa ananiambia huwa una akili sana, ila huwa unamkera kwa tabia yako ya jazba na uwezo mdogo wa kujenga hoja. Na hata kwenye post zako naona ulivyo na akili na jazba.
 
Unajua kwanini umeweka matusi na jazba za wazi, hoja zako ni za kulazimisha kwa kuwa ukweli uko dhahiri. Tunajua hamuwezi kurudisha sasa kwani ccm ndiyo inayotawala nchi, ila uwezekano wa kurudisha huko mbele ni mkubwa sana. Mtabaki na mali mlizojipatia kwa michango na jitihada za ccm tu sio zaidi ya hivyo.
Ndoto za mwehu endelea kuota Hakuna binadamu aweza zuia mtu kuota ndoto ziwe za anafukuzwa na jinamizi za mikojo au akiota anakunya sebuleni kwa mkwewe au zozote endelea kuota ni haki yako
 
Hapa una hoja kuhusu cdm hata wao wanaona hii imekaa vibaya kwa upande wao. Ila naona unachanganya hoja, hoja ni umiliki wa mali zilizopatikana kabla ya mfumo wa vyama vingi. Je huko nyuma ccm ilizipata mali hizo kama ruzuku ya chama au ilikuwa ni miradi ya umma iliyoratibiwa na chama? Nakumbuka miradi hiyo mingi ilipatikana kwa michango ya hiari na sanasana kwa lazima aidha fedha au nguvukazi. Na michango hiyo iliwahusu wote bila kujali ni mwanaccm au sio mwanaccm. Hapa ndio utata ulipo.
Kulikuwa na ubaya gani si kilisaidiwa chama chao na wao kasaidia chama chao. Chama bado kipo hakijafa mali zigawiwe kwa nini na watu tumeziacha kwa hiyari yetu wenyewe. Neno ruzuku kama lilitumika au la hiyo ni misamiati cha msingi hela inayotoka serikalini ni hela ya umma. Kwa maana hiyo ruzuku kwa vyama vya upinanzi imechangiwa vile vile na wana CCM na wale wasio na chama. Kama ni mtego kwenye hili vyama vya upinzani vimenasa na kama ni chambo ndoana imewanasa. Walitakiwa kuigomea ruzuku tangu mwanzo ndio hoja yao hii wangekuwa na nguvu nayo tangu sasa na hata hapo watakapo kuja shika Dola. Kwani watakapolianzisha tu na wenzao watadai mali zilizopatikana kwa ruzuku sijui wakati huo itakuwa ni ya miaka 50!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruzuku ya CHADEMA badala ya kujenga ofisi na kufungua Miradi inatumika kuandaa Mikutano ya matamko hotelini, mbaya zaidi hakuna tamko hata moja lililowahi fanyiwa kazi, vilevile ruzuku ya CHADEMA inatumika kumwekea dhamana Tundu Lissu na Halima Mdee, Pesa zingine za CHADEMA zinatumika kumlipa MALISA anayefanya kazi ya kutukana kwenye Facebook badala ya kujenga ofisi na kufungua miradi. Shem on you CHADEMA
 
CCM Kama chama tawala pekee kilipewa ruzuku na serikali na kuchangiwa na Wafadhili wa Ndani na nje Wanachama Na wasio wanachama WA Ndani ya nchi na nje ya nchi kwa kippesa kimali na kiardhi Kama ambavyo mfumo wa vyama vingi chadema inachangiwa na serikali kwa ruzuku na kuchangiwa kimali kipesa na kiardhi na kimajengo na wanachadema na wasio chadema wa Ndani na nje ya nchi. Mleta hoja lofa na wanaounga mkono mabwege na malofa iwe chini ya mfumo wa chama kimoja au vingi.mleta hoja hoja zake za kibwege na kijinga
Unaweza ni kutukana tuu, kujibu hoja huwezi na huo uwezo huna.
 
Ruzuku ya CHADEMA badala ya kujenga ofisi na kufungua Miradi inatumika kuandaa Mikutano ya matamko hotelini, mbaya zaidi hakuna tamko hata moja lililowahi fanyiwa kazi, vilevile ruzuku ya CHADEMA inatumika kumwekea dhamana Tundu Lissu na Halima Mdee, Pesa zingine za CHADEMA zinatumika kumlipa MALISA anayefanya kazi ya kutukana kwenye Facebook badala ya kujenga ofisi na kufungua miradi. Shem on you CHADEMA
Labda nikuulize kitu mkuu, kwani CHADEMA kwenye ile Ofisi yao pale ufipa nini kinakosekana? Kwani priority lazima iwe kujenga Ofisi? Unafikiri pesa ya kujenga jengo kama lile la TANU walilopangisha CCM hawana?
 
I swear to God, mali wanazomiliki CCM zilizokua za umma ipo siku zitarudishwa serikalini. Hata kama sio Leo lakini ipo siku zitarudi tuu
 
MAMBO ya manji wanajuana huko huko ccm,kuhusu maeneo kupigwa bado Kuna coincidí wengi wanayo na hawajaendeleza
Kila Siku anayeporwa ni sumaye tu na mbowe we hapo nyomi ni chuki za kisiasa

Ova
Hebu yataje hayo mengi unayoyajua nasi tuyajue. Kumbe hata mashamba tuliyotangaziwa na kugawiwa kwa wananchi mkoani Tanga ni ya Mbowe na Sumaye? Juzi tulisikia viwanda watu wamepokonywa kikiwamo cha chuma na Kilimanjaro tools kumbe navyo ni vya Mbowe na Sumaye!! Labda nikupe imani kuwa mchakato zoezi linaendelea. Tunaambiwa watu wamepewa notisi ya siku 90 kuendeleza mali walizopewa kama ilivyokusudiwa au serikali itatwaa na kuwapa wengine watakaokidhi matarajio. Hata hivyo ninawasiwasi hata kama hayo mengi yakinyang'anywa utaona na kulalama kama Mbowe na Sumaye hawatakuwemo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo sumaye alitaka chadema ishike madaraka achukue mashamba mengine zaidi teh teh. Mungu ni mkuu sana,
 
Back
Top Bottom