Lini Viwanja vinavyomilikiwa na CCM vitakuwa chini ya umiliki wa Serikali Kuu au Halmashauri husika?

Lini Viwanja vinavyomilikiwa na CCM vitakuwa chini ya umiliki wa Serikali Kuu au Halmashauri husika?

Ndoto za mwehu endelea kuota Hakuna binadamu aweza zuia mtu kuota ndoto ziwe za anafukuzwa na jinamizi za mikojo au akiota anakunya sebuleni kwa mkwewe au zozote endelea kuota ni haki yako

Ww huna hoja, na matusi pia huyawezi kiasi nakuona ni mtoto hivi. Nimeangalia nikikujibu kwa hoja nakuonea, kwa matusi ndio nitaishia kukuacha upate ban tu kwa jinsi unavyo panic. Simply ww ni mwepesi na mshamba fulani.
 
cku kikpta chama kngne nao watanyang'anywa af wataanz lalamika
 
Ila haki iwe kwa wote viongozi waliopita walikuwa wakware sana wote kina sumae nkapa chikwete lowaza na wengi wanyang'anywe wote isionekane sumae pekee au lowaza... warejeshe mali za nchi wameishi kimalaika sana miaka na miaka wamehodhi mali bila sababu wala uwezo wa kuendeleza huku wakipiga makelele kwa tusio na kazi eti tujiajiri
 
Utaratibu wa mali upo hivi mtoto akifa baba akiwa bado yupo hai maana yake mtoto kaukimbia uridhi kwahiyo wote waliondoka kambla wa chama hakijakufa basi kwahio wamejinyima wenyewe mali za chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini. Kwa kweli nitoe pongez kwa Azam kwa uwekezaj mzuri wanaofanya katika kuonyesha ligi ya mpira wa miguu Tanzania bara.
Jambo linalotia doa ni hali mbaya ya viwanja vya mpira hasa vinavomilikiwa na chama cha mapinduz. Hivi viwanja vina maduka na matukio yanayoingiza pesa miaka nenda rudi ila vipo vile vile kama vilivyojengwa miaka hamsini iliyopita. Ccm iwajibike kwa kuweka mpango mkakati wa uboreshaji badala ya kupeleka mapato kwenye shughuli za chama.
Pia ccm itafute waendelezaj wa kuvifanya viwe vya kisasa kwa mkataba maalum ya maslahi kwa pande zote. Au wawape TFF watafute wafadhili watakaoviendeleza.
 
Virudi serikalini ili tuvijenge kwa kodi zetu wenyewe. Ccm kwa kuvifaidi kwa mda mrefu nayo ichangie 50% ya fedha za ujenzi.
 
Ingawa nainga mkono Ccm ya siku hizi, hili swala la chama cha siasa kumiliki viwanja vya soka huwa linanichekesha na kunishangaza sana haswa ukizingatia kwamba Ccm si club ya michezo na wala haimiliki club yoyote ya soka , netball , basketball nk..Tumezoea duniani kote viwanja vya michezo humilikiwa na taasisi na hivi viwanja vilijingwa na wananchi na kwa kujitolea kipindi cha chama kimoja wakidhani wanajenga kwaajili ya serikali. Hivi viwanja vinazidi kuwa magofu na kukosa uangalizi Wa kutosha.Hivyo basi naishauri Ccm ivirudishe serikalini angalau huko vinaweza kupata kumiliki Wa wananchi wote na nirahisi kupata udhamini Wa kuvikarabati kutoka serikalini au watu binafsi, mfano uwanja Wa taifa upo kwenye ukarabati kupitia kampuni ya bahati nasibu ya spotpesa ,kama ungekuwa ni Wa Ccm spotpesa ingekuwa vigumu kujitolea kuukarabati...Hivyo basi CCM rudisha viwanja serikalini
 
Wakuu si Magufuli as person ila ingependeza sana serikali ifanye uchunguzi juu ya uhalali wa viwanja vya michezo vinavyosemekana kumilikiwa na CCM, kama ikigundulika kuwa ni vya Serikali, Serikali ivichukue na ivikarabati itapendaza sana mfano CCM Kirumba, CCM Kambarage Shinyanga, Songea ule sijui unaitwaje, na vingine vingi, naona kwanza vimetelekezwa havina matunzo yoyote,its better for the government to authorize them fully and rehabilitate to a reasonable standard.

Nawasilisha
 
Ni wazo zuri ila zama za serikali kuendesha viwanja vya mpira ziliishaisha zamani. Viwanja vinakodishwa kwa makampuni, yanavitumia kujitangaza wakati huo mmiliki anaingiza mapato nje ya viingilio na frem za maduka.
 
Back
Top Bottom