Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Yaani CCM ijichunguze? hatari tupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nifahamishen nijue
Hahahaaaa mchezea nyeti wakati siyo mwafaka kaula.hata uvccm hawajui ndiyo maana wameteuliwa Msando akawakague.
Viwanja vyenyewe vina hali mbaya sana na haviendelezwiWatanzania,
Nimekuwa natafakari maono ya TANU na baadaye CCM katika ujenzi wa viwanja vya michezo nchi nzima ni wa kupongezwa na kuendelezwa.
Leo hii karibu katika kila makao makuu ya mikoa kuna uwanja wa michezo ni jambo jema sana kwetu sisi wapenda michezo.Ninakumbuka miaka ya 90 mwanzoni nikiwa nasoma Tabora School mkuu wa mkoa wa Tabora ndugu Lawrence Gama (RIP) alivyosimamia kidete ujenzi uwanja wa Ally H.Mwinyi.
Kumekuwa na malalamiko kuwa CCM wanyang'anywe viwanja hivyo sababu vilijengwa enzi za chama kimoja.Hii hoja haina mashiko kwani leo mtu akihama dhehebu lake huondoka na mgao wa mali kadri alivyochangia?mfano,ukihama ukatoliki utadai mali zako?la hasha utaondika mwenyewe.Na ndivyo ilivyokuwa baada ya mwaka 1992 ilikuwa ni hiyari kuhama CCM hivyo kudai rasilimali za CCM ni ujinga.
Nawatakia jumapili njema
Ni mpuzi ww mimi babangu alinyangänywa ngómbe 3 kwa nguvu kujenga kiwanja cha Namfua. Baba hakuwahi kuwa mwanachama wa TANU wala CCM. Wananchi wote walichangishwa kwa lazima kujenga hivyo viwanja hivyo, kwa hiyo ni mali ya serikali sio ya chama. Ni mjinga tu ndio ataona ni halali kikundi cha watu (CCM) kushikilia mali za taifa na kujihalilishia kuwa zao.Watanzania,
Nimekuwa natafakari maono ya TANU na baadaye CCM katika ujenzi wa viwanja vya michezo nchi nzima ni wa kupongezwa na kuendelezwa.
Leo hii karibu katika kila makao makuu ya mikoa kuna uwanja wa michezo ni jambo jema sana kwetu sisi wapenda michezo.Ninakumbuka miaka ya 90 mwanzoni nikiwa nasoma Tabora School mkuu wa mkoa wa Tabora ndugu Lawrence Gama (RIP) alivyosimamia kidete ujenzi uwanja wa Ally H.Mwinyi.
Kumekuwa na malalamiko kuwa CCM wanyang'anywe viwanja hivyo sababu vilijengwa enzi za chama kimoja.Hii hoja haina mashiko kwani leo mtu akihama dhehebu lake huondoka na mgao wa mali kadri alivyochangia?mfano,ukihama ukatoliki utadai mali zako?la hasha utaondika mwenyewe.Na ndivyo ilivyokuwa baada ya mwaka 1992 ilikuwa ni hiyari kuhama CCM hivyo kudai rasilimali za CCM ni ujinga.
Nawatakia jumapili njema
Mkuu,zama hizo hadi majeshi yalikuwa na makada.Siku Martin Luther alipojitenga na ukatoliki hakudai pensheni bali alianza upya.ushabiki wa vyama ndio mchawi wetu,viwanja hivyo vilijengwa na wananchi vinge milkishwa halmashauri za miji husika lakini kutokana na uhuni wa viongozi na washabiki kama ww leo huko geita ccm mkoa imechukua kiwanja cha shule ya msingi kalangalala na kukifanya kuwa kiwanja chake,hivyo shule kukosa kiwanja cha michezo,tuendeleeni kushabikia ujinga huku tuna haribu mambo.