Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
CCM Kama chama tawala pekee kilipewa ruzuku na serikali na kuchangiwa na Wafadhili wa Ndani na nje Wanachama Na wasio wanachama WA Ndani ya nchi na nje ya nchi kwa kippesa kimali na kiardhi Kama ambavyo mfumo wa vyama vingi chadema inachangiwa na serikali kwa ruzuku na kuchangiwa kimali kipesa na kiardhi na kimajengo na wanachadema na wasio chadema wa Ndani na nje ya nchi. Mleta hoja lofa na wanaounga mkono mabwege na malofa iwe chini ya mfumo wa chama kimoja au vingi.mleta hoja hoja zake za kibwege na kijinga
Unajua kwanini umeweka matusi na jazba za wazi, hoja zako ni za kulazimisha kwa kuwa ukweli uko dhahiri. Tunajua hamuwezi kurudisha sasa kwani ccm ndiyo inayotawala nchi, ila uwezekano wa kurudisha huko mbele ni mkubwa sana. Mtabaki na mali mlizojipatia kwa michango na jitihada za ccm tu sio zaidi ya hivyo.