SaidSabke
JF-Expert Member
- Sep 28, 2006
- 2,071
- 402
Sio machi bali vichwa majiMkuu, hilo hawalioni. Wamezibwa macho na super glue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio machi bali vichwa majiMkuu, hilo hawalioni. Wamezibwa macho na super glue
kuna watu humu ni mazuzu hawawezi kuelewa ugonjwa wao ni uleuleee! zaidi ya eboraHizo ni fikra za kijinga kabisa. Mleta mada hajasema Chadema ndiyo wanaotaka viwanja hivyo. Sisi wananchi ndiyo tunavihitaji viwanja virudi kwa halmashauri za miji vilipo. Mfano wako ni wa kijinga kwa sababu Chadema siyo walioomba kuanzishwa vyama Vingi, na wakati vinaanzishwa Chadema haikuwepo. Baada ya vyama kuanzishwa, Ccm ilipata usajili kama vingine na kabla ya hapo Mali hizo zilikuwa za uma kwani tulijenga kama "wananchi" na si kama "wanaccm". Hata kabla ya vyama vingi, siyo kila mwananchi alikuwa mwanachama wa ccm.
Jana katika baraza la Idi Karimjee,Rais Magufuli alionyesha kuchukizwa na waislam walioshirikiana na matajiri kupora maeneo ya jumuia hiyo.Hilo lilikuwa chukizo zuri sana!Pamoja na kuwa Rais Magufuli sio mnafiki na anachukizwa na uporaji wa mali za jumuia za wananchi kwenda kwenye vikundi vya watu,nataka kumwambia kuwa kikundi kidogo kiitwacho CCM kilipora na kunyanganya viwanja vilivyojengwa na wananchi!Karibia mikoa yote Tanzania vipo viwanja vya michezo kama Mkwakwani-Tanga,Kambarage-Shinyanga,Al Hassan Mwinyi-Tabora,Kirumba-Mwanza,Jamhuri-Dodoma,nk vilijengwa na wananchi wote kipindi cha mfumo wa chama kimoja.Tofauti na ilivyokuwa kwa shule za mashirika ya dini kurejeshwa serikalini,viwanja hivyo vikaporwa na chama!!Je,Rais kama mlinzi wa mali za umma,ni lini atatoa tamko juu ya urejeshwaji wa viwanja hivyo?
Hoja yako inafanana na ya mwanamke aliyeamua kuachika kwa mume wake kisha akalazimisha kugawana mali walizochuma pamoja ilhali mali hizo zimeandikwa hati ya mume na watoto wake. Ndivyo chadema wanavyofanya. Mali ni za ccm na hati zina majina ya CCM. Msahau kabisa chadema kupata viwanja hivyo. Kama mnashindwa kujenga hata ofisi, mtaweza kumiliki viwanja?
Kibaya zaidi, huyu bwana Lizaboni kila wakati anabebea bango mambo yanayojadiliwa na kuyahusisha na Uchadema tu. Hapa anatuonyesha kuwa uwezo wake wa kuelewa mambo ni zero ndiyo maana anashindwa kuchanganua mambo. Kama amekaririshwa na mtu/watu kuwa yupo kwa ajili ya kushambulia Chadema, ni vema watu wakawa wanamfahamisha mada zisizohusiaña na siasaukimaanisha mume ni CCM na mke ni Tanzania?maana hoja yangu ni mali zirudi serikalini,wewe mbona kila tukisemacho sisi kibaya kwako,hapa haitetewi Chadema ndugu!
Daaah, ukada umekuzidi, unakulupuka sana.Hoja yako inafanana na ya mwanamke aliyeamua kuachika kwa mume wake kisha akalazimisha kugawana mali walizochuma pamoja ilhali mali hizo zimeandikwa hati ya mume na watoto wake. Ndivyo chadema wanavyofanya. Mali ni za ccm na hati zina majina ya CCM. Msahau kabisa chadema kupata viwanja hivyo. Kama mnashindwa kujenga hata ofisi, mtaweza kumiliki viwanja?
Rais ni serikali mkuuCCM itaifishe mali ya CCM?
Hebu jitafakari mkuu.
Rais ni serikali mkuu
kwa sababu ccm wamevihodhi lakini havitumiki. cha msingi ni kutaifisha, hapo ndipo nitaona tunakamanda ikuluNaunga mkono hoja...na sasa bila kusita serikali ianze kufikiria kuwa na viwanja vya kisasa kwenye kanda zote za Tanzania na ikiwezekana tuombe haraka iwezekanavyo kuandaa kombe la Africa kwa mara ya kwanza , ndani ya utawala wa awamu ya tano..inawezekana tukiamua.."Hapa kazi tu"
Hiyo ndio kero yako?Subiri chadema wakiingia madarakani mwaka 2090Muda mrefu sasa serikali haitaki kutaifisha viwanja vya Mpira ambavyo viliporwa na chama cha mapinduzi. Viwanja hivi vimekua sababu ya kudorola kwa michezo hapa nchini kwa sababu haviendelezwi.
Na baada ya kuvitaifisha tunaomba kuundwe wakala wa viwanja vya michezo ili kuviendeleza na kuvisimamia.
Kama alivyo taifisha ile shule ilikarabatiwa na serikali kwa fedha za maafa, tunaomba moyo huo huo utumike kuvirudisha viwanja hivi.
Kwanza kiukweli hivyo viwanja si vya ccm...vilijengwa na kwa nguvu za wananchi wote wa Tanzania...ni wakati mwafaka sasa vikarudi serikali vikajengwa upyakwa sababu ccm wamevihodhi lakini havitumiki. cha msingi ni kutaifisha, hapo ndipo nitaona tunakamanda ikulu
Kuna ukweli na mwenye macho haambiwi tizama,Hakuna investments ya CCM katika viwanja hivyo tokea kufunguliwa vyama vingi zaidi ya miaka 20.Muda mrefu sasa serikali haitaki kutaifisha viwanja vya Mpira ambavyo viliporwa na chama cha mapinduzi. Viwanja hivi vimekua sababu ya kudorola kwa michezo hapa nchini kwa sababu haviendelezwi.
Na baada ya kuvitaifisha tunaomba kuundwe wakala wa viwanja vya michezo ili kuviendeleza na kuvisimamia.
Kama alivyo taifisha ile shule ilikarabatiwa na serikali kwa fedha za maafa, tunaomba moyo huo huo utumike kuvirudisha viwanja hivi.