Lini Viwanja vinavyomilikiwa na CCM vitakuwa chini ya umiliki wa Serikali Kuu au Halmashauri husika?

kweli humu jf kuna members ambao n mzigo taslim.
kwan kuna mwananchi aliejitolea kwa nguvu na mali kujenga viwanja amelazmishwa kuhama ccm?
kama roho inakuuma c uhamie ccm?
xixi nu generation wala hatuitaj hvyo vwanja, we need true changes in system
 
Nimejaribu kufikiri jinsi ccm ilivyo zulumu kibabe mali zetu zikiwemo viwanja vya mpira kama ccm kirumba mali hizi tulichangishana enzi zile za chama kimoja,na sasa ni wengi tu si wafuasi tena wa vyama vya siasa na ccm kwa kutenda haki nashauri rudisheni serekalini mali zote.
 
Nimesoma hadithi nyingi za wanyama ila sijawahi hata kusikia kwa tetesi kuwepo hadithi ya FISI KUACHIA MFUPA.....
 
wewe unachekesha kweli. Ccm ni ya wananchi na si kama ilivyo kwa mtei na cdm. Kama unataka mali kwani ccm imekunyima kuwa mwanachama umekimbia mwenyewe, ccm itabaki kuwa ya wananchi maishani, nenda kaulize zile mia mia mlikuwa mnachangia mboye aruke na chopa mkisema mnajenga chama, ccm milele itabakia kuwa ya wananchi. Utakufa utaiacha, wananchi wataendelea kuikuza, ccm daima chama cha wananchi.
 
hivi mtu akikiambia nyumbani bila kufukuzwa akawacha wenzake(baba, mama, na wenzake) akaenda kujenga kwake, mara anakuja nasema nataka mali zangu atapewa?? Ujafukuzwa kama unataka mali njoo tuiendeleze,
 
hahahaaaa.... Mkuu unachekesha kweli yani,,, kweli chama cha mafisadi ni cha wananchi au watawala????
 
hivi mtu akikiambia nyumbani bila kufukuzwa akawacha wenzake(baba, mama, na wenzake) akaenda kujenga kwake, mara anakuja nasema nataka mali zangu atapewa?? Ujafukuzwa kama unataka mali njoo tuiendeleze,

ivalid example,, try again
 
watake wasitake one day zitarudi tu,,na yanavyojiamin utazani yana mkataba wa kutawala milele!!
 
Nimejaribu kufikiri jinsi ccm ilivyo zulumu kibabe mali zetu zikiwemo viwanja vya mpira kama ccm kirumba mali hizi tulichangishana enzi zile za chama kimoja,na sasa ni wengi tu si wafuasi tena wa vyama vya siasa na ccm kwa kutenda haki nashauri rudisheni serekalini mali zote.

Akili za kuambiwa hizi ni shida. Na huko bavicha/chadema ziko nyingi kweli, kwanini hamtumii hata akili kidogo tu
nyie wachaga??? MALI ZAKO si unazo mwenyewe au?? Au unatangaza biashara kistaili flani???
 
Mbona povu lako lipo nje ya mada kijana kama unataka kutoa povu rudi kwenye msitari tukutoe mapovu hayo
 
Nimejaribu kufikiri jinsi ccm ilivyo zulumu kibabe mali zetu zikiwemo viwanja vya mpira kama ccm kirumba mali hizi tulichangishana enzi zile za chama kimoja,na sasa ni wengi tu si wafuasi tena wa vyama vya siasa na ccm kwa kutenda haki nashauri rudisheni serekalini mali zote.

mwezi mmoja TU BAADA YA UCHAGUZI WA 2015 KILA KILICHO CHENU KITARUDI MIKONONI MWENU , SHAKA ONDOA .
 
wewe unachekesha kweli. Ccm ni ya wananchi na si kama ilivyo kwa mtei na cdm. Kama unataka mali kwani ccm imekunyima kuwa mwanachama umekimbia mwenyewe, ccm itabaki kuwa ya wananchi maishani, nenda kaulize zile mia mia mlikuwa mnachangia mboye aruke na chopa mkisema mnajenga chama, ccm milele itabakia kuwa ya wananchi. Utakufa utaiacha, wananchi wataendelea kuikuza, ccm daima chama cha wananchi.

HIVI WEWE unajua KUSOMA NA KUANDIKA KWELI ? DAH! KUMBE HIZI SHULE ZA KATA NI HATARI KIASI HIKI ?
 
Vitarudi tu hivyo wala usiwe na shaka,, ni suala la muda hata wao wanajua viwanja hivi si mali yao... Vilijengwa kwa nguvu ya wananchi....
 
teh........teh........teh.........nilivyoiona tu nikajua hii ni thread ya wanasiasa ngoja niangalie kidogo, teh........teh........teh, te!te!te!te!te!te!teh..................mwe, kweli yale niliyotegemea kuyakuta ndiyo hayo hayo, aah aisee, nilikuwa nawasalimia tu.
 
wewe unachekesha kweli. Ccm ni ya wananchi na si kama ilivyo kwa mtei na cdm. Kama unataka mali kwani ccm imekunyima kuwa mwanachama umekimbia mwenyewe, ccm itabaki kuwa ya wananchi maishani, nenda kaulize zile mia mia mlikuwa mnachangia mboye aruke na chopa mkisema mnajenga chama, ccm milele itabakia kuwa ya wananchi. Utakufa utaiacha, wananchi wataendelea kuikuza, ccm daima chama cha wananchi.

na zile pesa za EPA alizorejeshewa mwenyekiti wenu zi wapi? acha kujitoa akili kijana.
 
Akili za kuambiwa hizi ni shida. Na huko bavicha/chadema ziko nyingi kweli, kwanini hamtumii hata akili kidogo tu
nyie wachaga??? MALI ZAKO si unazo mwenyewe au?? Au unatangaza biashara kistaili flani???

a twit at work!
 
Back
Top Bottom