Kabisa mkuu yani hii ni mistake kubwa sana wamefanya wanakuwa Kama hawaijui ccm vileLeo si ndo Dday,hivi kweli mlidhani vitu vitaenda smoothly kama kawaida? ,Ilitakiwa tangu jana awepo dar,tena kwenye handaki futi 500 kwenda chini,ambako hata bunkerbuster haipenyi...
Kwanini hamkuoversee hii possibility,,?,ndo maana nasemaga hamjawa tayari kuongoza,hii ilitakiwa muione kabla na muweke plan B,C,D
Halafu wewe mwanamke mbona una roho mbaya sana? Au wewe sio mwanamke bali ni limwanaume jambazi lililoweka avatar ya binti mrembo.Hivi kwann hapendi kutii sheria bila shuruti
Kwani neki wanahuaika na vibli? Hataivyo hatujui waliomba leoleo ama wanatakiwa kuomba siku kadhaa kabla.Kuna taarifa kuwa baada ya kucheleweshewa kibali cha anga akiwa Kilimanjaro Tundu Lisu ameamua kurusha choppa bila kibali kuwahi mikutano yake ya kufunga kampeni Dsm.
Ngoja tuone mamlaka husika ikiwemo NEC zitachukua hatua gani.
Maendeleo hayana vyama!
Asiwaponze wao hawana ulinziNaona itakuwa leo anapigia simu kila mkurugenzi kuweka mambo sawa.
Asiwaponze wao hawana ulinziNaona itakuwa leo anapigia simu kila mkurugenzi kuweka mambo sawa.
nani atawaongoza sasa si watajikuta wako songea au msumbiji huko lazima wapewe coordinates kuwa wasafiri kwa msafa hayaUtopolo mtu ana ngoja kibali cha nn Sasa chopa linatua popote awashe gia, wafanye watakavyo
Unakwenda kuchukua chartered plane kwa jina la lissu au chadema unategemea nini?,Bro, unajuaje kuwa hiyo sio plan B, C ama D. Kurukia mambo usiyoweza kuyatolea ushahidi ni kujitia ujuaji. Hata hizo unazoziita plans B, C na D haziwezi kuwa wazi kila wakati!! Dar panaendeka kwa barabara na ndege, hakuna treni wala melikebu. Kama hakuna schedule passenger flights unadhani atumie barabara??
Unashindwa kujua kitu kimoja anayetaka kukuzuia usiruke anaweza hata kufuta scheduled flight kwa kisingizio technical!! Anaweza kutaka kuchukua chartered flight, nayo inahitaji kibali. Mzuiaje nae ana hizo plan B, C na D!!
Labda kwa gharama ya damu ya mama ako na baba ako kwa sisi wengine hatuna nafasi ya kumwaga damu...amani ni zaidi ya urais mnaoutaka mbwa nyieHatuwezi kuishi kwenye nchi ya kipuuzi namna hii. Yaaani binadamu mwenzetu anaonewa kiasi hiki tena waziwazi na wala tusichukue hatua.
Walimpiga risasi wakitaka kumuua, akapona mauti ila wakamnyima matibabu, akapona kabis wakamvua ubunge na kukataa kumlipa hata kiinua mgongo kwa kipindi alichotumikia.
Sasa amegombea uraisi hawaachi figisu, mikoa ya kusini wamemzuia kufanya mikutano zaidi ya 10, na Mkoa wa Pwani pia, kisa magufuli ameshindwa kufanya kampeni kusini.
Sasa leo anakuja kufunga kampeni Dar wanamletea figisu tena kwa makusudi. Sasa tunasema imetosha!!!!
Kesho kwa hasira tunaenda kupiga kura nyingi kwa Lissu na tutalizilinda hakika kwa gharama ya damu zetu. Hata tukifa ila historia itatukumbuka.
alafu akipata on air collusion akigongana na ndege nyingine mje na visingizio na lawamaLissu amwambie Captain waruke Below 5000 rada iliyotekwa naMagufuli haitomuona mpaka Daresalama
Hahaha Chopa Hua inafuata hata Barabara au mitonani atawaongoza sasa si watajikuta wako songea au msumbiji huko lazima wapewe coordinates kuwa wasafiri kwa msafa haya
kesho kama kawa tumchague magufuli mkuuHata acheleweshwe awahishwe kesho ni siku ya kumsulubu mtesi msalabani
Huyu jamaa bachelor?Pilot atakua huyu hapa.View attachment 1613704
lazima wapotee watatokea mombasa wakijua wako darMara paaa, wamefika Dar wazima, tutafurahi balaa, ...