Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

Samia Suluhu Hassan kwa sasa ni ngumu sana kumtofautisha na ceremonial leader.
 
Hata aliposema magufuli kashaded mlimzihaki lakn mwisho mlifichua.

Hayuko serikalini lakni anapata taarifa kulikoni wewe uliyehapo lumumba.
Ni upuuzi kuamini taarifa ambazo hazijathibitishwa.

Uwe sisiemu uwe chadema uwe lumumba au uwe ufipa.
 
WanaCCM wenzangu,
Hoja aina hii siyo za kukurupukia maana mtu kama Lissu lazima atakuwa na mvujisha taarifa kutoka pakachani.

Naona watu wanajibu kwa kebehi
Kuna jambo halipo sawa and yet we joke about it.

I can sense indoor plumbing
Ni kweli usemayo.

Lissu yupo connected kwa asilimia 70.

Ila nimefuatilia suala la kesi ya Mbowe ndio nimegundua kuwa kuna mchezo wa chess.

Lakini hii yaweza kuwa asilimia 80 kweli.

NIliwahi kusema huko nyuma kuwa CCM pana kampasuko ambako kanadhibitiwa na pande tatu akiwemo KM.
 
Aisee.. Lisu kafikia hapa?
Lissu kafika hapa, wapi ????

Si mara ya kwanza Lissu ku expose ma skandali ya tawala za nchi hii…

Lissu ndie aliyeliambia taifa kwamba mweka hazina wa nchi ni mtoto wa dadaake Rais, kila hela anayotaka Rais wanaongea kwenye simu wawili inapita… mchana huo huo akatwangwa risasi 16….

Ajabu na aibu mtu mmoja nje ya bunge anafanya kazi ya oversight and restraint of government kubwa kuliko bunge zima la chama kimoja.
 
Royal tour ndio kitu cha maana ?
 
Mtafute mwamba anaitwa Tumia akili naweza kujibu hizi hoja zako
 
Noma sana !
 
Lisu ni debe tupu yule!

Yani haya uliyosema ndio unaona lisu ni mtu wa maana?
 
Kazi ya kwanza ya Rais yoyote duniani ni kuwaunganisha wananchi wake wote na kuwa kitu kimoja, kutibu majeraha na kuwasikiliza wachache na kufikia muafaka.

Bàda ya hapo kazi ya pili huwa ni kujenga uchumi wa taifa.

Sasa kujaribu kujenga uchumi wa taifa bila kutibu majeraha yaliyoachwa na uchaguzi mkuu ni sawa na kupaua bati za msauzi kwenye nyumba ya matope.
 
Lisu ni debe tupu yule!

Yani haya uliyosema ndio unaona lisu ni mtu wa maana?
Debe tupu?

Angekuwa “debe tupu” statehouse and state security wasingehangaika na kulalamika kwamba anadhihaki hatua za serikali kupambana na mabeberu, na baadae kuamumuru auliwe!

Rais alisema anaezodoa juhudi zake za kuminya mirija ya unyonyaji wa madini ni saliti, na dawa ya saliti ni kuuliwa. Masaa mawili baadae wakamrushia risasi 32, zikampata 16.

Anawanyima usingizi, unamwitaje “debe tupu” ?????
 
Huyo mtaalamu mbona yuko kimya sana? Umem-spot sehemu yoyote humu ndani hivi karibuni?

Mi ni muumin wake aisee Tumia akili
Hata mimi sifahamu amepotelea wapi ila naona kunakila dalili ya unabii wake kutimia
Time will tel
 
Lissu alivyosema mwendazake haonekani hadharani wiki na ushee sasa mkasema jamaa kageuka mpiga ramli.. haya sasa kazi kwenu kwenye hili.

Binafsi Lissu hajawahi niangusha.
 
Kama hizi tuhuma ni za kweli na siyo conspiracy theory basi Tanzania imegeuka Pakistan. Jeshi na vyombo vya usalama vya Pakistan ndiyo vinatawala nchi badala ya serikali iliyopigiwa kura na raia. Kwa hiyo kama ni kweli kilichoongelewa na Lissu basi nchi yetu imegeuka kuwa Pakistan. #Tanzanistan.
 
Wewe uliwaruhusu kufanya mikutano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…