Pre GE2025 Lissu anaenda kumshinda Mbowe kwenye huu uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

unajua pesa ngapi zimetolewa na kina Abdul kumhujumu Lisu?

Ila ukweli ni kwamba ya Mungu mengi, na Mungu hashindwi kitu
 
unajua pesa ngapi zimetolewa na kina Abdul kumhujumu Lisu?

Ila ukweli ni kwamba ya Mungu mengi, na Mungu hashindwi kitu
Na yeye atoe kwani Amsterdam hayupo? Si wapo humu chawa wake walikubaliana juzi kwamba watamchangia 😆😆😆😆

Hakuna kibaraka wa Wazungu ataachuwa chawa Wala kuja kuingiza Nchi hii
 
Shetani huongea kwa vitisho..just like this! na hasa anapojua hawezi kushinda..shetani ni roho anafahamu fika uchaguzi utakuwa namna gani na matokeo na hivyo anatumia vitisho kujaribu kubadilisha kitachakachotokea!
 
Hiyo ndiyo demokrasia tunayotaka, washindane kwenye uchaguzi huru na wa haki.
 
Nina uhakika Lisu atamshinda Mbowe
Huu ni mtazamo wako, shida ni pale unapolazimisha tukubaliane na wewe hata kama siyo sahihi! Wewe ni :

dikteta

mtu mwenye tabia ya kutaka lifanywe lile analosema bila ya kupingwa


Nb:Kama hauna cha kupost ni bora ukae kimya coz unaanza kuonyesha ujinga wako uliokuwa umejificha kwa kujiona una akili sana kuwazidi wengine!

Mfano wa ujinga ni kama huu:


Halafu wewe wakati huo hujioni!


Hapa ulitoa ushauri huku ukijiona una akili halafu ni mjanja sana!


Hii ya mke wako inaitwaje??Tukuiteje??

 
Samia hapa kanipigia watu kirahisi na kijinga Sana.

Sijategemea kabisa kama ishu ingeisha kirahisi kwa namna hii
Ongea maneno yote unayoweza kusema, but remember..God knows the beginning and end of this great nation, usitumie nguvu nyingi za ushawishi km vile wewe ndie mwenye uchungu sana na nchi hii kuliko hata aliyeiumba..elewa mipaka yako! Mungu akishasema hata ulale na shetani hutabadilisha kitu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…