Huu ni mtazamo wako, shida ni pale unapolazimisha tukubaliane na wewe hata kama siyo sahihi! Wewe ni :
dikteta
mtu mwenye tabia ya kutaka lifanywe lile analosema bila ya kupingwa
Nb:Kama hauna cha kupost ni bora ukae kimya coz unaanza kuonyesha ujinga wako uliokuwa umejificha kwa kujiona una akili sana kuwazidi wengine!
Mfano wa ujinga ni kama huu:
Kwa hiyo utakata kutuambia nini kuhusu Baba Levo, Mwijaku na Dotto Magari. Si ndio hapo? Tufanye yeye aliongiza darasa so?
Halafu wewe wakati huo hujioni!
LISU ATARUDISHA ITIKADI/IMANI YA WATU KWA CHADEMA. CHADEMA MPENI UENYEKITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watanzania ni watu ambao huwaamini kama wanaweza kuishi bila kuonewa. Bila kutetemekea watawala. Bila kuwa machawa wa wenye navyo. Watanzania wengi huamini kuonewa, kudhulumiwa na...
Hapa ulitoa ushauri huku ukijiona una akili halafu ni mjanja sana!
WANAWAKE HUJIFANYA WANA MOOD SWINGS NA KUITUMIA KUTESA NA KUPELEKESHA WANAUME MABWEGE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usikubali mwanamke akupelekeshe kwa kisingizio cha mood swings. Usikubali! Kuna wanawake Wana tabia ya kupelekesha wanaume wakijifanya ati Wana mood swings. Mood swings...
Hii ya mke wako inaitwaje??Tukuiteje??
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mtafaruku ni Mkubwa. Huu mwaka naona unaisha vibaya Mno. Kama sitakuwa macho nyumba yangu inaweza kuvunjika. Sorry nianze kwa Salamu maana Leo mtanifaa Sana kwa ushauri Bora. Assalam alyekum kwa Waislam, Tumsifu Yesu Kristo kwa Waislam. Wapagani, salama...