Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana!, JF tuna manabii ...!.Binafsi naona Mbowe angeachia kijiti cha uenyekiti wa Chama ampe Lissu au Heche John
Nasema haya kwasababu Chadema kwa sasa na upinzani unahitaji mtu mwenye maamuzi magumu, misimamo mikali na ambaye hajapoa sana
Simchukii Mbowe hata kidogo wala siangalii ukabila wala dini, ingekua natizama hayo basi ningemfavor mbowe kwasababu labda tunatoka kijiji kimoja. Mimi sio mkabila kama mwendazake au mdini kama Gwajima.
Nachotazama ni utendaji, sasahiv upinzani wanahitaji apatikane mtu mwenye misimamo mikali sana sio mtu mpole mpole kama Mbowe.
Chama kinahitaji watu kama Lissu au wengineo ndo waongoze Chama sio Mbowe
Mbowe sasa imetosha!! Mkabidhi mtu mwingine kijiti sasa!
Duh...!.Mbowe must go
Human beings are not not static, they are dynamic, hence they change with time!. Swali Kuhusu Thamani Kuu ya Tundu Lissu Ndani ya Chadema ni Ipi Kati ya Uwezo wa Uenyekiti wa Chadema au Uwezo wa Kuiingiza Chadema Ikulu 2025 ?Kina Pascal Mayalla wanasema siasa za confrontational politics zimewaumiza zaidi Chadema kuliko kuwasaidia kwani dola ilitumia mwanya huo kuwakandamiza.
Hivyo 'radical elements' kama kina Heche wataipata Chadema wakati mgumu kutoka vyombo vya dola, bora kina Mbowe anagalu wanaumwa ila Kuna mida wanapulizwa na kupakwa spirit.
JokaKuu zitto junior Kalamu brazaj