Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Watammaliza kimafia, halaf jumba bovu litaangushiwa serikali na CCM.Na akibaki huko nakwambia yatamkuta yakutukuta. Aache kucheza na mfalme mbowe kwenye himaya yake.
Wewe nafikiri unaizungumzia CDM ile ya enzi za Dr Slaa 2005 hadi 2015, na Lowasa 2015 hadi 2020. Baada ya hapo CDM kimekuwa chama cha hovyo ambacho hakina mbele wala nyuma. Watu wengi wameamua kuachana nacho baada ya kugundua kuwa viongozi wao wanaangalia matumbo yao tu badala ya masilahi ya taifa. Kumbuka 2015 wakati wanamkaribisha Lowasa waliesema kuwa ni fisadi namba 1 nchini na kisha kumpa ticket ya kugombea uraisi. Watu walishangaa mtu wanaosema fisadi wamkabidhi uraisi. CDM badala ya kuacha kumpa Lowasa ticket ya uraisi wao walitetea uamuzi wao na kusema kuwa CDM iko tayari kushirikiana na yeyote hata shetani ili mradi tu wawe na uhakika wa kuing'oa CCM madarakani. Kwa maana nyingine CDM haisimamii misingi yake, yani kwenye masilahi wanaweza kushirikiana na yeyote hata mwizi, mkimbizi nk ili mradi tu wafanikiwe mipango yao ya kujaza matumbo yao na ya familia zao.👍💪CDM inaungwa mkono na watu wengi makini kutokana na misingi iliyojengeka ndani ya itikadi na sera zake makini. Nakubaliana 100% na Lissu, kuwa endapo viongozi watakwenda kinyume na misingi hii, basi mtu ajawajibika kutengana nacho.
Ukiwa chama chenye kujinasibu katika kauli mbiu ya demokrasia na maendeleo, ni vyema kikaishi kwayo. Yote haya yatatokea endapo CDM kama timu moja itafanya kila liwezalo kupata viongozi bora kwa njia zilizo bora, za kistaarabu, na pia zenye kuaminiana.
Akwende zake huyo tamaa na lopolopo tu
Why all this English my fellow jobless? Usiharibu kiingereza cha kutongozea tutakapo pata ajira.pleaseThe cracks are deepening, and I doubt if CHADEMA will survive the coming ordeal.
The biggest challenge for CHADEMA is fear of self-reflection, and failing to acknowledge that despite the enormous contributions of Mbowe, he has now turned that political party into his own fiefdom.
Hili linapelekea CHADEMA iwe na taswira ioneshanyo kwamba chama ni mali ya wachagga peke yao na kwenye maamuzi wao ndiyo wao.
Too bad kuona CHADEMA imefika hapa.
Takataka unakimbilia chooni mav weweamsema iwacha