Lissu jifunze, Huwezi kushika dola kwa kupambana na dola, Never

Apambane na wewe ?
 
Kwahiyo unaweza shika dola kwa kuiomba dola ikupe dola? Hiyo ni akili au matope? Ninani ambae yuko tayari kuachia dola ili ampe luau? Wote walioshika dola walipambana na dola ndio wakashika dola.
 
Hapana mimi sina dola mshauri aendelee kupambana na dola.
Do you know how the ballot box works in Tanzania, umenikumbusha kuhusu mkuu wa wilaya aliyetenguliwa baada ya kuujulisha umma kwamba wakati wa uchguzi huwa, (mnaenda), wanaenda mapolini
 
Hoja yako haina mashiko kwa sababu tatu. Kwanza Mbowe aliwahi kugombea urais na si mwanarakati unavyodai na hamkumpa huo urais. Pili .Kama kutetea haki sio sifa ya kuwa Kiongozi basi unakubaliana kuwa hatuna utawala wa haki na sheria. Mwisho. Hoja yako inaonyesha urais kwa Tanzania ni zawadi ya makubaliano na sio sifa ya kutawala.
 
Kwahiyo unaweza shika dola kwa kuiomba dola ikupe dola? Hiyo ni akili au matope? Ninani ambae yuko tayari kuachia dola ili ampe luau? Wote walioshika dola walipambana na dola ndio wakashika dola.
It's true hakuna mwenye dola anayeweza kuachia dola kirahisi lkn
kuna njia sahihi na kistaarabu za kupata dola kidplomasia na sio kupambana nayo kwa mabavu kama anavyotaka Lissu na wengi mnavyotaka.
 
Lissu hakujifunza tu kwa rafiki yake Spika mtata aliyekuwa anatamba ana uwezo wa kumleta mtu yoyote Bungeni kwake kuhojiwa iwe kwa pingu ama karandinga - baada ya kauli ile ya mikopo ya mama nini kimemkuta?
Dola ni dola ndugu.
Mpinzani moja ya jukumu lake ni pamoja na kusema madhaifu ya utawala
Sasa unaposema anashindana na dola unamaanisha kwenye muktadha upi
Je kuna kosa lolote la jinai amefanya ili kutimiza adhima yake ya kisiasa
 
huwezi kupambana na boss wako ukabaki salama.

Boss mwenyewe MAFIA la Kimachame
 
Kwahiyo Unaamini kulikuwa na uchaguzi? Lisu si ndio makamu mwenyekiti? Yeye alikuwa wapi?
 
Mimi hadi sasa sijaona mahali lisu anapambana na mwenyekiti wake na ninafuatilia speech zake vizuri kabisa anaongea maneno ya busara tuu! ila ninacho kiona ni wapambe na wafuasi wa ccm wenye malengo yao hasi ndio wana kuza na kmuwekea maneno lisu
Kelele zimechukua nafasi ya busara
 
Lissu anapambana na Dola kivipi ??!
Anatumia nini kupambana na Dola ??
Chama cha upinzani cha siasa kazi yake ni nini ??! Uchawa au kukosoa ??!
 
Sasa hivi hakuna utofauti kati ya CHADEMA, CUF na TADEA,

Upumbavu mtupu,

Afadhali adui uliomzoea kuliko adui mpya better tuendelee na CCM tu milele.

Kuliko yanayojifanya yanapigania wanyonge kumbe nyuma ya pazia majizi matupu na mara rushwa.
Na huu ndio ukaribu na Ukweli !
Waswahili Wanasemaga ni bora Kichaa uliyemzowea kuliko Kichaa mpya ambaye huzijui actions zake 😅😂 !
 
Mleta mada kapagawa toka Lisu aoneshe nia ya kutumia haki yake kikatiba kugombea uongozi. Sasa tufanye wewe nenda kafanye hayo kwa mujibu wa ushauri wako kitaalamu kabisa, halafu umuache Lisu afanye naye kwa namna anayoijua yeye pia.
 
Mkuu nilidhani na wewe ni mpambanaji kumbe umeambatana na mapandikizi wenzako huko upinzani....

Dola ya kigaidi huwa hakuna mbadala zaidi ya kupambana nao
 
Sawa, fanya hilo vuguvugu pasipo kukivuruga chama unachotegemea kuja kushika dola.
Kwa hiyo mkuu unaona TAL anaivuruga cdm siyo? Kwa hiyo mtu yeyote anayetaka kugombea uwenyekiti CDM anahesabiwa kuwa anaivuruga cdm na ili kutoivuruga aachiwe Mboye aendelee kutawala muyaya (milele).
 
Mimi hadi sasa sijaona mahali lisu anapambana na mwenyekiti wake na ninafuatilia speech zake vizuri kabisa anaongea maneno ya busara tuu! ila ninacho kiona ni wapambe na wafuasi wa ccm wenye malengo yao hasi ndio wana kuza na kmuwekea maneno lisu
Exactly
 
Dunia ingekuwa na Watu dhaifu kama wewe tusingeendelea acha woga dogo, juzi trump amekuwa bold kwa serikali ameshinda,

Mira nyingi Watu wanapambana na dola huishia kushinda kwa kishindo

Dogo jitahidi kusoma historia utanielewa, acha kukaa kwenye majungu pale lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…