Lissu jifunze, Huwezi kushika dola kwa kupambana na dola, Never

Mimi nazungumzia modern politics siasa za kistaarabu Ila sipingi aina zako za kuingia madarakani za mapinduzi na nguvu ya umma,

Niambie kati ya hizo aina ipi Lissu anaiweza, mapinduzi? au nguvu ya umma kwa umma upi wa watanzania.
Kwa walio staarabika, "modern politics" unazosema, zinaanza na TUME HURU YA UCHAGUZI.
Nafikiri hili unalijua.
Sasa tusimulie hizo "modern politics" kwa Tanzania zinafanyaje kazi wakati Tume ya Uchaguzi INATEULIWA NA MMOJA WA WAGOMBEA.
 
Kwa walio staarabika, "modern politics" unazosema, zinaanza na TUME HURU YA UCHAGUZI.
Nafikiri hili unalijua.
Sasa tusimulie hizo "modern politics" kwa Tanzania zinafanyaje kazi wakati Tume ya Uchaguzi INATEULIWA NA MMOJA WA WAGOMBEA.
Kwa hiyo tuingie msituni? au tuandamane.
 
Kwahiyo Unaamini kulikuwa na uchaguzi? Lisu si ndio makamu mwenyekiti? Yeye alikuwa wapi?
Lissu si alisema hakuna uchaguzi bila mabadiliko ila Mbowe kama kawaida anapenda maridhiano!! Ila Lissu akiachiwa umma wa chadema hao CCM wasingepindua hata mtaa mmoja maana pangewaka. Mbowe ana wanachama loyal sana ila ameshindwa kuwatumia vizuri kuwaondoa CCM.
 
Wakati wa uchaguzi Lissu alikuwa Singida sijasikia akihamasisha wagombea wake kupinga kuenguliwa.
 
Wakati wa uchaguzi Lissu alikuwa Singida sijasikia akihamasisha wagombea wake kupinga kuenguliwa.
Aah mpe party machinery, angeshafufua mpaka red Brigade inatakiwa chadema irudi ile ya 2008-2014 yaani mpaka tulikua tunanasa mawasiliano na wakati mwingine tukidaka moles wa Ccm tunamalizana nao kimyakimya.

Mbowe hawezi hizo radical approaches kabisa ndio maana inatuuma wanachama.maana tunajua matokeo yatakuwaje.
 
Lissu ni second man Chadema anashindwa nini ku implement maono yake kwa kujenga hoja kwenye kamati kuu hadi awe Mkiti.
 
Wachaga mnayumbayumba kama mmelewa mbege

Chadema inafutwa mnatekana sana ๐Ÿผ
 
Lissu ni second man Chadema anashindwa nini ku implement maono yake kwa kujenga hoja kwenye kamati kuu hadi awe Mkiti.
Kamati kuu ya chadema huwezi kujenga hoja imejaa mamluku watupu

Askofu Gwajima alishakuwaga mjumbe wa CC ya chadema huku ana KADI ya CCM ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kwani kusema fulani sio mwanasiasa na haijui siasa ni mwanaharakati huwa mnamaanisha nini?. Mimi kama mwanafunzi wa saynsi za siasa mbona naona kama mko ilogical.

Mtu Kawa mbunge tena wa kuchaguliwa na wananchi kama muwakilishi wa wananchi?, Kawa mnadhimu wa upinzani bungeni, Kawa kiongozi wa chama haya yote ni in political context.

Hapo hiyo hoja ya fulani sio mwanasiasa wakati yupo kwenye context hiyo huwa mnapata wapi nguvu ya kuandika hivyo?. Je hamuoni kuwa mko ilogical?.
 
Mawazo ya kijinga kabisa.Hakuna Dola inayotoka madaraka bila watu wakupambana nayo.Lissu go usikatishwe tamaa,pambana.
 
Porojo miiiiingi!
Mwanaharakati ni Ujasiri
Dhambi ya Lissu ni kuweka machafu ya chama hadharani hili tu au kuna lingine?

JF ya kitambo kuna watu nilikuwa nawaaminia sana kwenye maswala ya kulikomboa taifa lakini kulikomboa Taifa ni mchezo wa kamari dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ