Lissu: Mkataba na DP World Rais Samia ametukosea sana!

Lissu: Mkataba na DP World Rais Samia ametukosea sana!

Tumeaibishwa sana, sijui hawa wanaounga mkono huu ujinga wamepewa nini.

Nia ovu kutoka kwa viongozi wetu ilidhihirika pale walipoudanganya umma kwamba walichosaini sio mkataba. Wabunge pia bungeni wameidhinisha kitu wasichokijua, hawakuelewa kwamba wameidhinisha mkataba.

Kitakachofuata sasa hivi ni kurekebisha sheria za Tanzania ili kuingiza vifungu vya mkataba wao huo.

Hivi kweli kama taifa tumefikia hatua ya kuipa nchi nyingine bandari yetu waitawale? Kama taifa tumefikia hatua ya kumpa mgeni lango letu alitawale?

Tumekosewa sana, sana!
 
Tumeaibishwa sana, sijui hawa wanaounga mkono huu ujinga wamepewa nini.

Nia ovu kutoka kwa viongozi wetu ulidhihirika pale walipoudanganya umma kwamba walichosaini sio mkataba. Wabunge pia bungeni wameidhinisha kitu wasichokijua, hawakuelewa kwamba wameidhinisha mkataba.

Kitakachofuata sasa hivi ni kurekebisha sheria za Tanzania ili kuingiza vifungu vya mkataba wao huo.

Hivi kweli kama taifa tumefikia hatua ya kuipa nchi nyingine bandari yetu waitawale? Kama taifa tumefikia hatua ya kumpa mgeni lango letu alitawale?

Tumekosewa sana, sana!
Mashungi ni mpumbavu na adui wa taifa ...wewe jiulize kwanini alipiga marufuku hotuba za Nyerere na Jpm
 
Niseme ametukosea sana, au pia naweza kusema ametutukana kabisa. Kitendo cha kuwapa wageni mamlaka kamili wajitawale ndani ya nchi yetu, kama sio tusi kwa wale waliopigania uhuru sijui niite ni kitu gani tena..

Atambue tu huko alipo, anatakiwa kutuomba radhi watanganyika, aende pia kwenye makaburi ya wazee wetu waliopigania uhuru wetu awaombe radhi, kisha baada ya hapo auvunje ule mkataba wa kinyonyaji unaomtweza mtanganyika ndani ya mipaka ya nchi yake.

Asijisanganye na majibu mepesi ya kuziba masikio, ajue tu anaotuambia hayo ni watu wazima wenye akili zetu timamu, ameshakosea mwanzo kusaini ule mkataba, asiendelee kukosea zaidi, werevu tutazidi kumuona asivyojielewa.
 
Khe lazima tumlie kwanza Mwarabu? duh basi kama ni kweli basi Sir Nyento katukosea sana mno... labda alikula ulojo mwingi sana kupindukia ukamlevya
 
Mh Samia you did technical mistake, this issue will affect much if you still insist to run for president post 2025, umewapa agenda nyepesi sana ya kukumaliza kwa wanaNchi.

Katika other side, this was designed na wanao mzunguka ili 2025 akose credibility kwa watu. Kama hazisikii sauti zinazo muonya bas akubali her own demise
 
Mkataba wowote unao onyesha dhamira chafu ni hatari kujaribu kuulekebisha ...tayari mwekezaji kaonyesha wazi wazi dhamira mbaya na ovu kwenye huo mkataba hivyo ni hatari kuendelea naye huyo mwekezaji kwa namna yoyote hata kwa kulekebisha huo mkataba haifai
Mwekezaji hana dhamira chafu dhamira yake ni kupata faida ya mtaji wake
 
Huu ndiyo ulio ukweli:

View attachment 2678574

"Hatupoi!"

Alipo sasa Rais Samia anayo namna moja pekee:

"Kuufuta tu, mkataba huu ambao ni wa hovyo mno, usiorekebishika!"
Huo mkataba wa DP World uko wapi?

Huyo fala wa Kinyaturu anacheza na maneno tu, hakuna mkataba na DP World. Lakini unasukwa bado, upo njiani.
 
Tumeaibishwa sana, sijui hawa wanaounga mkono huu ujinga wamepewa nini.

Nia ovu kutoka kwa viongozi wetu ilidhihirika pale walipoudanganya umma kwamba walichosaini sio mkataba. Wabunge pia bungeni wameidhinisha kitu wasichokijua, hawakuelewa kwamba wameidhinisha mkataba.

Kitakachofuata sasa hivi ni kurekebisha sheria za Tanzania ili kuingiza vifungu vya mkataba wao huo.

Hivi kweli kama taifa tumefikia hatua ya kuipa nchi nyingine bandari yetu waitawale? Kama taifa tumefikia hatua ya kumpa mgeni lango letu alitawale?

Tumekosewa sana, sana!
Hakuna mtu aliekosea Watanganyika kwani Tanganyika does not exist and no one gives a damn about Tanzania.
 
Lengo la mikataba mibovu ni kuishitaki nchi baadae na kuisababishia hasara kama kukamatwa kwa ndege nk huo mkataba umeonyesha wazi wazi dhamiri chafu ya mwekezaji pia mkataba umempa uungu furani mwekezaji
"furani" ndiyo mungu yuppi huyo?
 
Back
Top Bottom