Per Diem
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 2,189
- 3,724
Mlipewa ofa bure jengo la burj khalifaHivi ni nani kati ya Tanzania na Dubai aliyetakiwa kuandaa mkataba? Huu hauna sura ya kwamba TZ ndio yenye kuhitaji mwekezaji. AIBU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlipewa ofa bure jengo la burj khalifaHivi ni nani kati ya Tanzania na Dubai aliyetakiwa kuandaa mkataba? Huu hauna sura ya kwamba TZ ndio yenye kuhitaji mwekezaji. AIBU
Na faiza foxyAdui wa Watanganyika ni Samia, Mbarawa, Tulia na Wabunge wote ukitoa Mpina, na Kenani.
Kumbe Lissu ni mzinguaji sana!! Ili niweke taarifa sawasawa, unaweza kunisaidia kujua, Uzandiki, Uzushi, Uongo, ufitini na ubabaishaji wa Lissu?Lisu uko vizuri kwenye sheria,lakini akihamia kwenye siasa ni mzandiki,mzushi,muongo,mfitini na mbabaishaji mno.
Siasa ni uzandiki kwa asili Dogo,na uzandiki huu wa siasa ndio uharibifu kwa mataifa ,dunia na Tanzania yetu🤔Kumbe Lissu ni mzinguaji sana!! Ili niweke taarifa sawasawa, unaweza kunisaidia kujua, Uzandiki, Uzushi, Uongo, ufitini na ubabaishaji wa Lissu?
Naandika kama raia mwema mwenye mapenzi mema nawe na taifa langu la Tanzania. ni jambo lililo wazi kuwa kupata kwako urais kuliamsha matumaini mapya kwa wazalendo wa nchi hii, wakiamini sasa utawala wa haki, demokrasia na usawa utarejea katika taifa letu adhimu.
Hata hivyo, suala la bandari limeonesha picha yako tofauti. Hutaki nkusikiliza kilio na concern za maelfu ya watanzania bali umeamua kusikiliza machawa na walamba asali. Umehiari bandari zetu zikodishwe kwa mikataba ya hovyo kwa kila kigezo cha mkataba.
Jambo la kujua ni kuwa taifa hili lipo 'mikono' salama. Wanatizama tu mwendo wako and soon, they will fix you madam.
Uwe na majukumu mema