Lissu: Mkataba na DP World Rais Samia ametukosea sana!

Hivi ni nani kati ya Tanzania na Dubai aliyetakiwa kuandaa mkataba? Huu hauna sura ya kwamba TZ ndio yenye kuhitaji mwekezaji. AIBU
 
Wwe
Nimemsikiliza Tundu Lissu akiwa kariakoo akishikashika vikaratasi flani akiita mkataba wa DP World, nilitegemea angeusoma mkataba wenyewe lakini alibaki kuongelea mauzuzshi mengi na matusi kwa rais. Huyu mtu ndio maana Magufuli alitaka kummaliza, ni mwongo, mzushi, mpotoshaji, ameshahongwa na ndio zake anafaidikaga ktk mazingira km haya. Nisubiri asome mkataba wenyewe wala hakuufungua kuonesha alikuwa anapotosha tu, ni mtu mtu hatari sana kwa ustawi wa nchi hii, Rais kuruhusu na kutoa uhuru wa aina ile sijui amejiandaaje kukabilana nao. Vitu alivyozungumza haviwezekani hata kwa akili ya kawaida.

Alivyo mnafki leo hakuzungumzia habari za Magufuli zaidi ya kujaribu kumsifu, hii inatokana na kusoma upepo kuwa akimsema Magufuli pengine wananchi wasingeelewa upotoshaji wake. Ila amewatukana mkapa na Kikwete na kuwarushia mauwongo mengi sana. Mimi nachoweza kumshauri Rais wangu apige kazi na mikataba km mingine ibaki siri ya serikali siyo lazima lwenda bungeni, watanzania wengi uwezo wao wa kuelewa na kupambanua mambo ni mdogo sana ila wakiona matokeo mazuri watakuelewa na kukusifu. Sasa hivi wananchi watachanganywa sana, ila huu uhuru uliopitiliza kiasi wa upotoshaji udhibitiwe. Mwisho rais we piga kazi ukiwasikiliza watakukwamisha baadaye waseme si mmeona
Wewe ni mpumbavu! Unadhani hii Nchi ni ya Samia!
Ulisubiri akusomee mkataba unamlipa? Peleka ujinga wako huko! Hatutaki mikataba ya Kimangungo kwenye rasilimali za Nchi yetu!
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu akiwa kariakoo akishikashika vikaratasi flani akiita mkataba wa DP World, nilitegemea angeusoma mkataba wenyewe lakini alibaki kuongelea mauzuzshi mengi na matusi kwa rais. Huyu mtu ndio maana Magufuli alitaka kummaliza, ni mwongo, mzushi, mpotoshaji, ameshahongwa na ndio zake anafaidikaga ktk mazingira km haya. Nisubiri asome mkataba wenyewe wala hakuufungua kuonesha alikuwa anapotosha tu, ni mtu mtu hatari sana kwa ustawi wa nchi hii, Rais kuruhusu na kutoa uhuru wa aina ile sijui amejiandaaje kukabilana nao. Vitu alivyozungumza haviwezekani hata kwa akili ya kawaida.

Alivyo mnafki leo hakuzungumzia habari za Magufuli zaidi ya kujaribu kumsifu, hii inatokana na kusoma upepo kuwa akimsema Magufuli pengine wananchi wasingeelewa upotoshaji wake. Ila amewatukana mkapa na Kikwete na kuwarushia mauwongo mengi sana. Mimi nachoweza kumshauri Rais wangu apige kazi na mikataba km mingine ibaki siri ya serikali siyo lazima lwenda bungeni, watanzania wengi uwezo wao wa kuelewa na kupambanua mambo ni mdogo sana ila wakiona matokeo mazuri watakuelewa na kukusifu. Sasa hivi wananchi watachanganywa sana, ila huu uhuru uliopitiliza kiasi wa upotoshaji udhibitiwe. Mwisho rais we piga kazi ukiwasikiliza watakukwamisha baadaye waseme si mmeona ameshindwa?
Hivi kuna watu bado wanamsikiliza huyu Lissu. Hana jipya.
 
Lisu uko vizuri kwenye sheria,lakini akihamia kwenye siasa ni mzandiki,mzushi,muongo,mfitini na mbabaishaji mno.
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu akiwa kariakoo akishikashika vikaratasi flani akiita mkataba wa DP World, nilitegemea angeusoma mkataba wenyewe lakini alibaki kuongelea mauzuzshi mengi na matusi kwa rais. Huyu mtu ndio maana Magufuli alitaka kummaliza, ni mwongo, mzushi, mpotoshaji, ameshahongwa na ndio zake anafaidikaga ktk mazingira km haya. Nisubiri asome mkataba wenyewe wala hakuufungua kuonesha alikuwa anapotosha tu, ni mtu mtu hatari sana kwa ustawi wa nchi hii, Rais kuruhusu na kutoa uhuru wa aina ile sijui amejiandaaje kukabilana nao. Vitu alivyozungumza haviwezekani hata kwa akili ya kawaida.

Alivyo mnafki leo hakuzungumzia habari za Magufuli zaidi ya kujaribu kumsifu, hii inatokana na kusoma upepo kuwa akimsema Magufuli pengine wananchi wasingeelewa upotoshaji wake. Ila amewatukana mkapa na Kikwete na kuwarushia mauwongo mengi sana. Mimi nachoweza kumshauri Rais wangu apige kazi na mikataba km mingine ibaki siri ya serikali siyo lazima lwenda bungeni, watanzania wengi uwezo wao wa kuelewa na kupambanua mambo ni mdogo sana ila wakiona matokeo mazuri watakuelewa na kukusifu. Sasa hivi wananchi watachanganywa sana, ila huu uhuru uliopitiliza kiasi wa upotoshaji udhibitiwe. Mwisho rais we piga kazi ukiwasikiliza watakukwamisha baadaye waseme si mmeona ameshindwa?
Kwenye hiyo post yako jambo pekee la maana ulilozungumza ni hapo kuwa Magufuli alitaka kummaliza Lisu. Wenzako huwa wanataka ushahidi kama ni Magufuli alitaka kummaliza. Sasa badala ya kuacha wenzako wa CCM wapotoshe kuhusu nani alitaka kummaliza Lisu na ukweli unaujua, bora uwaambie tu.
 
Thibitisha

Ulitaka ,asome akati kashasoma ,kama haukua mkataba kamshitaki Kwa kumtukana rais
 
Huwa mnatuchanganya watz na kwa uzushi na kutunga hamjambo

Mara alietaka kummaliza alikuwa late president, halafu mkazusha tena ni mwenyekiti wake

Ila nae kama mda wa kurudi kuomba incapacity benefits arudi zake tu maana wabongo kila leo wana udaku wala hawamsubiri yeye na ubuyu wake

Saa hizi wanajipanga na kuiba bidhaa za kufukua bahari eti wamkomoe DP
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu akiwa kariakoo akishikashika vikaratasi flani akiita mkataba wa DP World, nilitegemea angeusomamkataba wenyewe lakini alibaki kuongelea mauzuzshi mengi na matusi kwa rais. Huyu mtu ndio maana Magufuli alitaka kummaliza, ni mwongo, mzushi, mpotoshaji, ameshahongwa na ndio zake anafaidikaga ktk mazingira km haya. Nisubiri asome mkataba wenyewe wala hakuufungua kuonesha alikuwa anapotosha tu, ni mtu mtu hatari sana kwa ustawi wa nchi hii, Rais kuruhusu na kutoa uhuru wa aina ile sijui amejiandaaje kukabilana nao. Vitu alivyozungumza haviwezekani hata kwa akili ya kawaida.

Alivyo mnafki leo hakuzungumzia habari za Magufuli zaidi ya kujaribu kumsifu, hii inatokana na kusoma upepo kuwa akimsema Magufuli pengine wananchi wasingeelewa upotoshaji wake. Ila amewatukana mkapa na Kikwete na kuwarushia mauwongo mengi sana. Mimi nachoweza kumshauri Rais wangu apige kazi na mikataba km mingine ibaki siri ya serikali siyo lazima lwenda bungeni, watanzania wengi uwezo wao wa kuelewa na kupambanua mambo ni mdogo sana ila wakiona matokeo mazuri watakuelewa na kukusifu. Sasa hivi wananchi watachanganywa sana, ila huu uhuru uliopitiliza kiasi wa upotoshaji udhibitiwe. Mwisho rais we piga kazi ukiwasikiliza watakukwamisha baadaye waseme si mmeona ameshindwa?
We we si tu kichuguu mbele ya TAL bali shimo la choo!
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu akiwa kariakoo akishikashika vikaratasi flani akiita mkataba wa DP World, nilitegemea angeusoma mkataba wenyewe lakini alibaki kuongelea mauzuzshi mengi na matusi kwa rais. Huyu mtu ndio maana Magufuli alitaka kummaliza, ni mwongo, mzushi, mpotoshaji, ameshahongwa na ndio zake anafaidikaga ktk mazingira km haya. Nisubiri asome mkataba wenyewe wala hakuufungua kuonesha alikuwa anapotosha tu, ni mtu mtu hatari sana kwa ustawi wa nchi hii, Rais kuruhusu na kutoa uhuru wa aina ile sijui amejiandaaje kukabilana nao. Vitu alivyozungumza haviwezekani hata kwa akili ya kawaida.

Alivyo mnafki leo hakuzungumzia habari za Magufuli zaidi ya kujaribu kumsifu, hii inatokana na kusoma upepo kuwa akimsema Magufuli pengine wananchi wasingeelewa upotoshaji wake. Ila amewatukana mkapa na Kikwete na kuwarushia mauwongo mengi sana. Mimi nachoweza kumshauri Rais wangu apige kazi na mikataba km mingine ibaki siri ya serikali siyo lazima lwenda bungeni, watanzania wengi uwezo wao wa kuelewa na kupambanua mambo ni mdogo sana ila wakiona matokeo mazuri watakuelewa na kukusifu. Sasa hivi wananchi watachanganywa sana, ila huu uhuru uliopitiliza kiasi wa upotoshaji udhibitiwe. Mwisho rais we piga kazi ukiwasikiliza watakukwamisha baadaye waseme si mmeona ameshindwa?
Next president Lisu kakutapeli nini?
 
We ndio tapeli
 
Nyanoko be,lushindo long'wa noko gete
 
Wajinga mpo wengi sana, kwahiyo ulitegemea Lissu aanze kusoma vipengele vyote vya mkataba kama mtoto wa shule ya msingi?

Hapo alichofanya Lissu ametoa summary ya madudu yaliyopo kwenye ule mkataba, halafu baada ya hapo anaelezea ujinga uliofanyika, ili kuwaamsha watanganyika wote wajue wanaelekea kupelekwa utumwani na kiongozi mkimbizi toka Zanzibar.
 
Back
Top Bottom