Lissu ni kirusi kibaya ndani ya CHADEMA. Wana CHADEMA tokeni usingizini, Lissu anakwenda CCM

Mbona fresh tu hata akienda ccm, and then akagombee jimbo lolote kwa tiketi ya ccm halafu mama ana m pick kuwa waziri kwenye serikali yake wajenge nchi. CHADEMA haitatereka akiondoka
 
Mtu yeyote atakayetaka kuipasua CDM atapasuka yeye, na yeyote anayetaka kuiua CDM atakufa yeye!
 
Sasa lile basi alilozawadiwa ubelgiji ndio itakuweje tena?😁
 
Lissu akienda CCM me naacha kufatilia siasa ya Tanzania
 
Kwani wee chadema nimamaako?
 
..Mbowe amekitoa chama mbali.

..lakini huenda naye amechoka na hizi harakati.

..umri na uchovu ndio sababu zinazonifanya niamini ni vizuri Chadema wakapata Mwenyekiti mpya.
Tatizo Lissu hana utulivu.
 
M.kiti sioni akituvusha salama enzi hizi za chafuzi,tupate nguvu mpya,ni bora hata kujaribukuliko uhuni unaokosa dawa.
 
Muda ukifika ataenda anakotaka wacha apambane afikie anapotaka, slaa, lowasa, sumaye walirudi huko.

Wamefanya miujiza gani?

CDM still inataka mtu ambaye sio mkurupukaji na huku nje kuna kelele nyingi lkn ndani ya chama yote yanajulikana.

Huku nje utasikia nyimbo nyingi ila mwisho wa siku wenyewe wanatulia kulingana na mambo yanavyoenda.
 
Tuna akili sana kuliko wewe na huna haja ya kitufundisha chochote kuhusu Tundu Lissu maana tunamjua na kumwelewa vizuri kuliko mnavyomwelewa Chawa....

Kutaka kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, nafasi iliyoko kikatiba na muda wa uchaguzi ukiwa umefika ndiyo na yeye kujiona anafaa kujaza nafasi iweje awe kirusi..?

Siri gani hizo za chama anazozitoa?

Hivi imekuaje wana CHADEMA wa siku hizi kama wewe Mmawia mnakuwa kama ma CCM kwa kutaka na kupenda kufanyia mambo yenu gizani..?

Chama kinatuhumiwa kwa baadhi ya viongozi wake kupokea rushwa za ma CCM Ili wapate uongozi, hili lisisemwe hadharani? Siri gani hapo..?

Baadhi ya viongozi wanatuhumiwa kutumia madaraka yao vibaya kwa kutumia rasrimali fedha na mali kibinafsi, hiyo ni siri isisemwe hadharani..?

Yaani nyie mnaolea ujinga na uchafu kama huu ndio hasa virusi mnaopaswa kuondolewa chamani maana hamfai...!!
 
Wewe unawashwa sana ee,,kaa kimyaaa dawa ikuingie wewe ni sumu ndani ya chama
 
Shida nyingine ya M.kiti naona vipo vifungo huenda vinamfunga mikono katika kinachoitwa maridhiano ambayo siamini kama yalikuwa shirikishikiasi gani kwa chama na wanachama.Hivyo kupokezana kijiti kitavunja kifungo alichofungwa hata kuwa na upole usio wa kawaida.
 
Hapana mmawia ,mbona una hofu ambayo haina sababu??
 
Jana Mbowe alisema msiwe na haraka kuna mambo yanapikwa,maoni yangu ni kwamba Lisu ana baraka za Mbowe kwenye kugombea Uwenyekiti na Mbowe hatagombea tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…