Lissu: Sheria na Tamaduni za kitanzania haziungi mkono mapenzi ya jinsia moja, mimi pia siungi mkono jambo hilo

Alipokua huko kwao alisema vile, na amerudi hapa kwetu amesema hivi.
Nikama anacheza na wakati na hii ndio maana halisi ya siasa...😂
Anaanza kuwa mwanasiasa sasa naondoka kwenye uharakati....Mie sioni shida mtu kurekebisha mKosa yake ndiyo akili yenyewe
 
Kwa hivyo Lissu anauga mkono Ushoga wa faragha. Jee sheria inasemaje kuhusu wale wanao tumia au kuuza Gongo, Mihadarati kwa faragha, wanaruhusiwa kuvamiwa na polisi na kupelekwa mbele ya sheria? Au katiba hai ruhusu kuwaingilia watu vyumbani?

Alichosema hiki hapa:



Mengine ya kwako.
 
GIA angani
 
P
ii ni habari mbaya sana kwenu. Leo usingizi mtaupata wapi?ol
Pole
 
Leo imekuwa siku nyingine nyuzi baada ya nyuzi tokea kwa chawa pro.

Kulikoni? Kumbe upepo umewaelemea vilivyo. Watakuja na hoja ipi sasa?

View attachment 2504812

Hii si ndiyo waliyokuwa wakitembelea kama nyota yao?

Itakuwa je sasa?
Muongo huyo, anaunga mkono vizuri tu. Ushahidi huu hapa
 
Anasema nini kuhusu faragha ya ushogha? Inamaana anasema wafanye ushoga kwa siri.
Tuliosoma cuba tumeelewa.
 
Kwa hivyo Lissu anauga mkono Ushoga wa faragha. Jee sheria inasemaje kuhusu wale wanao tumia au kuuza Gongo, Mihadarati kwa faragha, wanaruhusiwa kuvamiwa na polisi na kupelekwa mbele ya sheria? Au katiba hai ruhusu kuwaingilia watu vyumbani?
Nikwamba, Tanzania Ushoga unatuhusiwa kwa Sheria, hapo Zanzibar mashoga wazungu kibao tunawaita watalii na wakienda Hotelin wanabook room moja, Kama kweli Ushoga mbona hawachukuliwi hatua, hao Wazungu waende na ushoga wao Qatar tuone, hata Arusha, Mashoga ww Kizungu wanakuja kibao tu, wanasema wapo Vacation , na waongoza watalii watawapeleka huko Serengeti na watafanya Romance na huwaambii kitu

Hicho ndicho Lissu anasema, huwa hamumuelewi tu, yy kusema Katiba haijakataza Ina maana kasema anaunga mkono?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…