Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Read between the linesKwahiyo balozi zetu zote zilizoko nje huko ulaya zinakumbatia hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Read between the linesKwahiyo balozi zetu zote zilizoko nje huko ulaya zinakumbatia hayo
Anaanza kuwa mwanasiasa sasa naondoka kwenye uharakati....Mie sioni shida mtu kurekebisha mKosa yake ndiyo akili yenyeweAlipokua huko kwao alisema vile, na amerudi hapa kwetu amesema hivi.
Nikama anacheza na wakati na hii ndio maana halisi ya siasa...😂
Kwa hivyo Lissu anauga mkono Ushoga wa faragha. Jee sheria inasemaje kuhusu wale wanao tumia au kuuza Gongo, Mihadarati kwa faragha, wanaruhusiwa kuvamiwa na polisi na kupelekwa mbele ya sheria? Au katiba hai ruhusu kuwaingilia watu vyumbani?
Hii ni habari mbaya sana kwenu. Leo usingizi mtaupata wapi?Mbona kigeugeu, kiongozi gani hajui anasimama wapi!?
GIA anganiLissu ameyasema hayo baada ya kuulizwa swali kwenye kipindi cha Clouds 360 ambapo mtangazaji alimuuliza Lissu yupo upande gani sababu mahasimu wake wa kisiasa wamekuwa wakimtuhumu kuwa supporter wa mapenzi ya jinsia moja kwakuwa anakaa ulaya.
Lissu amesema hizo ni siasa za maji taka na kwamba hajawahi kusema popote kuwa anaunga mkono mapenzi ya jinsia moja.
Anasema jambo hili liliibuliwa alipojibu swali kwenye kipindi cha Hard Talk BBC ambapo alisema mambo ya faragha serikali haitakiwi kuingilia na kwamba nchi ina katiba inayosema serikali hairuhusiwi chumbani.
Akielezea msimamo wake juu ya jambo hili Lissu amesema, "Watu wenye utamaduni huo waendelee na utamaduni wao, sisi wenye utamaduni tofauti tuendelee na utamaduni wetu, sheria na tamaduni zetu haziruhusu ushoga hivyo tuendelee na utamaduni wetu, siungi mkono ushoga."
View attachment 2504788
Amejibu kiutata sana
Lissu ni kigeugeu. Si mnasema ana msimamo? Mbona anagopa huo msimamo wakeWakatengeneza mpaka video feki lakini wapi
Muongo huyo, anaunga mkono vizuri tu. Ushahidi huu hapaLeo imekuwa siku nyingine nyuzi baada ya nyuzi tokea kwa chawa pro.
Kulikoni? Kumbe upepo umewaelemea vilivyo. Watakuja na hoja ipi sasa?
View attachment 2504812
Hii si ndiyo waliyokuwa wakitembelea kama nyota yao?
Itakuwa je sasa?
Hizi simblisi za kijani sijui zitakuja na agenda Gani tena
Hata mimi namshangaa.Lissu ni kigeugeu. Si mnasema ana msimamo? Mbona anagopa huo msimamo wake
Sio ulaya tu, hata alipokuja alipokewa na zile bendera za UpindeKuna klip alihojiwa huko ulaya aliyenayo aweke humu
Muongo huyo, anaunga mkono vizuri tu. Ushahidi huu hapa
View attachment 2504834
Hata mimi namshangaa.
Aliweka wazi kwamba anawaunga mkono
Sio ulaya tu, hata alipokuja alipokewa na zile bendera za Upinde
View attachment 2504837
Nikwamba, Tanzania Ushoga unatuhusiwa kwa Sheria, hapo Zanzibar mashoga wazungu kibao tunawaita watalii na wakienda Hotelin wanabook room moja, Kama kweli Ushoga mbona hawachukuliwi hatua, hao Wazungu waende na ushoga wao Qatar tuone, hata Arusha, Mashoga ww Kizungu wanakuja kibao tu, wanasema wapo Vacation , na waongoza watalii watawapeleka huko Serengeti na watafanya Romance na huwaambii kituKwa hivyo Lissu anauga mkono Ushoga wa faragha. Jee sheria inasemaje kuhusu wale wanao tumia au kuuza Gongo, Mihadarati kwa faragha, wanaruhusiwa kuvamiwa na polisi na kupelekwa mbele ya sheria? Au katiba hai ruhusu kuwaingilia watu vyumbani?