Katika kumbukumbu zako ni wapi na lini TL amewahi kumkashfu mtu yeyote achilia mbali huyu mtu na binadamu aitwaye hayati Mwl Julius K. Nyerere?
The problem with you people and most likely Tanzanians ni Kwamba, mmekulia na kulelewa ktk culture mbaya ya unafiki ya "Zidumu fikra za Mwenyekiti" na kutokuwa wakweli ktk maisha yenu yote.
Akitokea mtu jasiri dizaini ya TL akavuka mstari wa kuishi ktk utamaduni huu mbaya wa kinafiki na maisha ya uongo na kudanganyana ktk nchi hii na kuanza kusema na kuweka wazi yaliyokuwa "taboo" kusemwa au kuwekwa wazi ktk jamii mnang'aka na kudai ni kashfa au matusi..
We know and remember kuwa, hii ilianza mwaka 2014 wakati wa Bungee La Katiba (BLK) wakati wa mjadala wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964.
View attachment 2494407
Hapo nyie wanafiki ndipo mlipoanzaga kumuwakia TL kuwa kamkashfu baba wa taifa. Hebu tazama na sikiliza video hiyo. Huyu mtu tukubali tu kuwa anajua sana Kila asemacho na kukifanya. Kuna kashfa gani hapo????
Kivipi na Kwa namna gani?
It was simply because he broke the taboo of hypocrisy by exposing the weak side of the said "father of this nation" Kwa kuweka wazi makosa yake ya kimaamuzi ktk utawala wake wa miaka 24 ya nchi hii (ambayo hata yeye binafsi alitambua na kukiri waziwazi wakati wa uhai wake kwa mdomo na Kwa maandishi ya vitabu vyake) hususani ktk suala katiba ya JMT na Muungano wa TZ & Zbr mwaka 1964 ambayo mpaka leo yanaitesa nchi hii.
Kwa hiyo, huu ni ushauri wa kipuuzi. It's better ukakaa nao wewe mwenyewe au shaurianeni ninyi Kwa ninyi huko CCM Lumumba kisha pangeni tena kumdhuru kwa ubaya wowote halafu muone matokeo yake this time juu yenu na watoto wenu..
Na ofcoz ni ushauri usiotakiwa kusikilizwa wala kufuatwa na mtu yeyote anayejitambua na mwenye akili timamu.
Hatutaki mturudishe kwenye ujima na utwana. Tunataka kwenda mbele..