Lissu: Watoto wangu wote ni raia wa Marekani

NI USHAMBA KUTUANDIKIA GAZETI KWA UZI WA KUTUNGA
 
Mm mwenyewe nautaka.huo urai basi tu nimekwama huku mashambani nasubiri katiba mpya
 

Unashangaa CDM kwenda kuongea na wazungu, ila hushangai mama Samia kwenda kuzindua royal tour kwa wazungu. Kila siku mama Samia anaenda kuomba hela kwa wazungu, na wazungu ndio wanaotudai sana huogopi chochote. Ila CDM wakikaa na wazungu kwenye mkutano ndio inakuwa tatizo!

Ni kipi wazungu hawajapewa na ccm kuanzia raslimali, tender zote za bei ghali, ambazo wanasubiri hadi CDM waingie madarakani ndio wazipate? Isitoshe tumepata uhuru tokea mwaka 61 na nchi hii bado ni masikini. Ni kipi kilichoshindwa kuondoa huo umasikini, ambacho mzungu anakitaka? Au hizi tozo ndio mzungu anataka kuja kukusanya apeleke Ulaya? Rudini shule mkajifunze propaganda.
 
Chadema Ni mamluki,Ni vibaraka wa wazungu, wasaliti wakubwa wa Taifa letu

Wazungu wamejaa kila mahali hapa nchini, je hawa wazungu ni tofauti na hao wanaoongea nao CDM? Ingia kwenye deni letu la taifa, zaidi ya nusu ni pesa za hao wazungu. Kama kushirikiana na wazungu ni kuuza nchi, basi CCM imeshaiuza muda mrefu na hamna uhalali wa kuongoza nchi hii. CDM hakikisheni mnakaa na wazungu na wawape hela ya kutosha kuja kupambana na haya majizi ya kura.
 
Low minded
Short sighted
Viongozi wafupi kwa mujibu wa kipanya
Watoto ni raia na wana haki ya kuchagua uraia wa nchi yoyote
Sasa utachagua kwenye hamna?
 
Katika hii nchi ,tafuta tu kazi ya kuendesha maisha yako,uwe na uhakika wa kupata mahitaji yako ya muhimu kwa wakati, usijisumbue kabisa kuwaza kuwaondoa sijui ccm,sijui lissu awe rais, mara chadema hapo ni kujisumbua na kupoteza muda
 
Sioni shaka LISSU kupewa urais, ili mradi yeye ni mtanzania.. mwenzetu,
Watu wenye vision kubwa wanaangaliaga maono ya mtu na siyo sijui uraia... Izo ni nchi maskini na wapuuzi tuu ndio wata_base kwenye ukabila na urai....
Mfano wazuri mkuu wa Uk kiasilia ni muhindi ila kapewa PM,
 
Hili nalisema kutoka moyoni kabisa kwamba huyo mtu au mwanasiasa aheshimiwe sana.

Hapa tuna viongozi watoto wao ndio wanaongoza kwa kufilisi hazina ya Taifa letu, ni bora sana huyu mwenye watoto wanaopambana na hali zao huko Unyamwezini.

cc: Le mutuz
 
Tena ilibidi ajisahaulishe,asikumbuke kabisa, adili na watoto wake tu.Ila UTU watu wamejaaliwa utu
 
Viongozi wa chadema ni wapumbavu sana ,wanahamasisha maandamano Tanzania huku watoto wao wamewaficha Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…