Lissu: Watoto wangu wote ni raia wa Marekani

Wahuni wa Benghazi walikuwa wanawaza hivi hivi!!! Yaliyowakuta, hawataki kuyasimulia.

Tujifunze madhara ya mawazo ya wahuni wa Benghazi tusije na sisi kuitwa "wahuni".


Najua ngumu kunielewa lakini jitahidi hivyo hivyo nitaeleweka.

Yote hayo kasabisha ghadafi. Aliiongoza Libya Kama kampuni binafsi na ndio maana alipoondoka kulikuwa hakuna misingi imara ya kuiendeleza Libya Bali mawazo yake tu. Halafu utambue kwamba Libya ilikuwa imegawanyika pande tatu. Ni mkono wa chuma wa ghadafi ndio ulisababisha hiyo Hali isionekane. Tumshukuru Nyerere kwa kutuweka pamoja.
 
Kila mtu mwenye akili timamu na mwenye watoto hapa duniani anafanya afanyalo ili tu yeye na watoto wake waishi maisha mazuri.

Hakuna mtu yeyote yule atakayepambana kwa ajili ya kuwanufaisha watoto wako. Hakuna.

Tundu Lissu, kama walivyo wanasiasa wengine na watu wengine, kila mmoja anapambana kwa ajili ya watoto wake. Hata mimi napambana kwa ajili ya watoto wangu.

Kama bado unafikiri kuna mwanasiasa au kiongozi anayewapigania watoto wako, utakuwa umefeli sana.

Ni YESU KRISTO peke yake ndiye mwanadamu aliyeutoa uhai wake kwa ajili yetu na vizazi vyetu. Hakuna mwingine zaidi ya huyo.
 
Vurugu gani? Tanzania ni nchi ya amani. Vurugu utasababisha wewe mwenyewe.
Hivi kipindi kile wanaleta vulugu wanafanya mikutano bila kibali ulikuwa bado upo shule mkuu.
Naipenda sana Amani sitakubali mtu aivuluge🇹🇿
 
Pole mjane,kumbe ulikuwa wataka mtetea huyo iblisi
 
Unamshukuru nan????Hiii nchi imejaa wajinga wengi hiyo ndyo salama ya chama chakavu
 
Acha nongwa. Kuny* anye kuku.
Vigogo kibao watoto wao na wao wenyewe wana uraia wa ng'ambo.
 
Yes ana jipya, si unaona tuko naye pamoja tunapambana pamoja, Sasa huyu bash*** wa wazungu yeye Yuko ughaibuni huku akitupangia kipi cha kufanya, na Mara nyingine anatutaka eti tuandamane, huyu Ni mpuuzi tu!!

Nimekuuliza swali jepesi, Samiah ana jipya gani?. Unaleta ngonjera. Hivi wewe umewahi hata kulambwa kofi hadharani mbele za watu?. Ulijisikiaje?

Lissu kalimwa risasi hadharani mchana kweupe.

Lissu kafukuzwa ubunge na ndugai wakati sababu wanaijua.

Lissu alinyimwa matibabu na marupurupu yake kipindi alichokuwa bungeni kisheria.

Lissu kesi yake ya upelelezi mpaka Leo kimya, hakuna Cha polisi Wala Nani. Ni Kama vile sio raia wa nchi.

Watu wenye roho mbaya na ushatani Kama wewe mtafurahia mabaya aliyoyapata Lissu, Ila karma imeanza ktafuna mmoja mmoja. Ndugai aliyemfukuza Lissu hayupo kwenye nafasi, Sirro aliyekataa kufanya upelelezi hayupo kwenye nafasi yake na Kilangi aliyeleta wanasheria lukuki wa serikali wa kutosha ili tu Lissu aondolewe ubunge naye hayupo kwenye nafasi yake. Kubwa kuliko yote, kubwa la maadui yeye aliondoka a kwenye uso wa Dunia. Auwaye kwa upanga atakufa kwa upanga.
 
nimepokea taarifa kwa mshituko sana na kesho mchana narudisha kadi ya chadema ofisini kwao
 
Unamshukuru nan????Hiii nchi imejaa wajinga wengi hiyo ndyo salama ya chama chakavu

Wewe ndio mjinga, Mimi nimeshukuru Nyerere kwa kuweka misingi ya Umoja na kuondoa ukabila. Leo ndio tumeanza mambo ya ukabila lakini zamani hayakuwepo. Angalia Kenya wanavyo hangaika na Uganda, Congo, Sudan Kusini na Rwanda Burundi. Kisa ni misingi ya waasisi ilikuwaje?.
 
Hapa ndio mwisho wa kufikiri kwa akili zako
 

Safi sana Tundu. Nyumbani tunarudi krismas kusalimia.
 
Kwa taarifa yako, mama Samia, Mwenyekiti wa CCM, watoto wake wawili ni raia wa Uingereza.

Bora hata kama Lissu ni mkweli na kweka uraia wa watoto wake wazi. Kuna sababu nyingi za watoto kuwa na uraia wa sehemu fulani. Kwa USA ukizaliwa huko unakuwa raia
 
Tatizo ni kwamba baba yako aliuza punda akaenda kukusomesha punda mwingine
 
Hivi kipindi kile wanaleta vulugu wanafanya mikutano bila kibali ulikuwa bado upo shule mkuu.
Naipenda sana Amani sitakubali mtu aivuluge🇹🇿

Vurugu wanaleta polisi na vibaraka wa chama Cha mashetani, ila sio CHADEMA Wala nini. Ndio maana Sasa hivi Kuna utulivu, Ila ukifika muda wa uchaguzi wanaanza visa Mara kujaza Wanajeshi Zanzibar na kupiga watu risasi. Yani miaka mitano watu wakae kwa amani, halafu miezi miwili ya kampeni na uchaguzi amani hamna.

CHADEMA ni wapenda amani, Mwenyekiti wao kapewa kesi ya ugaidi ila hawakufanya vurugu , Makamu Mwenyekiti wao kalimwa risasi na kufukuzwa ubunge hawakufanya vurugu. Wamezuiliwa kufanya siasa miaka Saba Sasa wametuli hawana vurugu.

Nchi hii imejaribiwa na Polisi na chama Cha mashetani (CCM).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…