Lissu: Watoto wangu wote ni raia wa Marekani

Ila ma CCM wako uninformed kweli kweli. Hawajui watoto wa rais wao waliomba ukimbizi UK miaka hiyo na sasa ni raia wa Uingereza.

Sasa hao na watoto wa Lissu ambao uraia wao ni kwasababu walizaliwa huko, ipi mbovu?
 
I wish angekuwa kweli huo mpango wa CIA ili atusaidie kuiondoa ccm madarakani.

Baada ya hapo tutajua cha kufanya. Ila kwa sasa adui wetu namba moja kama Taifa, ni ccm! Na siyo Tundu Lissu, au hao CIA.
Kwa sasa hata shetani akiibuka kutoka kuzimu akasema atusaidie kuitoa ccm...sisi wananchi tutakuwa upande wake.

Stage iliyopo hata kura ipigwe kati ya Nabii tito na Sa100 watu ni heri waende na nabii tito
 
Sasa ulitaka watoto wake wasote kama wa ndugu zako wanaolilia mikopo ya elimu ya juu bila mafanikio!
 
Mzee nawe umeandika hoja mfu Sana aisee...aliyekuwa anatishia maisha ya Lissu na serikali yake wote sasa hivi hawapo...Mama Samia alimtembele mpaka ubeligiji akamwambia Rudi nyumbani..na zaidi akamlipa na stahiki zake za ubunge...akahojiwa na BBC aksema atakuja nchini mwezi Nne mwaka huu.., hivi sasa ni mwezi wa 11, jamaa anadunda ulaya Kisha anatoa matamko ya kijinga...why asirudi bongo kama.mwenzake mbowe baada ya kusikia magu kafa akarudi chap..
 
Ma CCM ni majinga majinga sana. Yana roho mbaya kuhusu watu wengine huku viongozi wao wakuu hata ni hovyo sana.

Kama huyu aliyeanzisha hii post alifikiri watoto wa Lissu kuwa na uraia wa Marekani ni kitu cha ajabu.

Hakujua rais wake mwenyewe ana watoto na ndugu wengi tu raia wa UK na Oman.

Ukliwa na roho mbaya shida sana.

Hawa hawa ndio walimpig Lissu risasi 37
 
Wewe kila siku unaleta upuuzi mtupu, hakuna simu hata moja akili yako inakaa sawa?

Nani ilikuambia kuwa Lisu hana kazi? Kama hujui, uliza kwanza kabla ya kuropoka.

Baada ya yeye Lisu kuwa targeted na utawala wa kishetani, ulitaka watoto wabakie hapa ili nao washambuliwe kwa risasi kama ngiri, kama alivyofanywa Baba yao?

Usiwe mjinga, soma historical intelligency uelimike. Unafahamu Mwalimu Nyerere alienda kuificha wapi familia yake wakati wa kupigania uhuru? Unafahamu Samora alienda kuificha wapi familia yake wakati wa mapambano? Unafahamu Augustinho Neto alienda kuificha wapi familia yake wakati wa mapambano? Hivi unadhani wakati wa mapambano familia ya wewe kapuku itawindwa kwa nguvu sawa na familia ya kiongozi wa mapambano?
 
The world is a global village. Kama wamepata opportunities huko, why not. Hapa nchi inamilikiwa na wachache... Akina Mwinyi, Kikwete, Makamba, Suluhu, Nahuye,. Kama huna jina kupenetrate ni ngumu labda uwe na God father.

George Weah, Rais wa Liberia, mtoto wake kachukua uraia wa Marekani na yuko Qatar kuwasilisha USA.
 
Hawezi akarudi saa hizi, atarudi maana hawezi kukaa bila kazi,
 
hata ungekuwa wewe, Mungu amekuepushia assassination kama ilivyokuwa kwa Lisu, hautataka kuiokoa familia yako? Utaiacha tu iendelee kuzurura kariakoo?.....
 
Huyu Chinembe lazIma ana uwendawazimu wa aina fulani. Hakuna siku analeta jambo la maana. Sidhani kama ana faida yoyote kwa yeyote.
 
Sorry, Globo hawk not blackhawk
 
Hao walienda kuficha familia, sisi ikulu yetu ikaliwe na wamarekani kweli, wazurure huko na huko mpaka vyooni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…