Zee la Mandandu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,064
- 2,603
Ila sidhani kama hao vijana wa YMCA waliacha shule/elimu dunia wakajikita kwenye elimu ya dini tu na karate.Ngosha...
YMCA Dar es Salaam walikuwa na mafunzo ya karate na vijana wengi walihitimu pale na kuipata mikanda.
Nadhani na Don Bosco walikuwa na mafunzo kama hayo.
Mimi siwezi kuandika kama ulivyoandika wewe kuwa walikuwa wanataka kumpiga nani?
Hawa watu wadhibitiwe.Halafu wengi wana matege plus "rickets "!BBADA YA KUFUNGWA KWA NAMANGA ISLAMIC CENTRE, TUVITAJE VITUO VYA MAFUNZO YA KARATE NA SIASA KALI KWA AJILI YA USALAMA WA NCHI YETU.Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali
Habari hii imerushwa ITV saa 2 hii usiku. Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha imekifunga chuo kimoja cha mafunzo ya kiislam kwa kutishia Amani na usalama wa nchi ambapo wamewakuta vijana walioachishwa shule za msingi na sekondari walioenda kufunzwa Imani Kali na...www.jamiiforums.com
Natamani nikujibu ila nimegundua wewe ni empty headed. Huwezi ku generalize huku ukijua kuwa humu jf kuna watu wa imani tofauti na hata Rais wa nchi anapita humu na ni Muislam.Uislamu ni laana, muislamu yeyote yule amelaaniwa.
Onyesha mstari wa kwenye biblia unaonyesha baraka kwa wapenzi wa jinsia mojaUkiristo una mafunzo ya ajabu zaidi. Baraka Kwa wapenzi wa jinsia moja na dini wapi na wapi!!?
Serikali imethibitisha kuwa tatizo la ugaidi lipo Tanzania. Umeshasahau hivi majuzi tu kuna masheikh wamehukumiwa vifungo vya maisha na wengine kunyongwa kwa kosa la ugaidi huko huko Arusha?Aki...
Suala la ugaidi limekuwa nyeti sana.
Mamlaka husika zimeshindwa kuthibitisha bila chembe ya wasiwasi kuwa tunalo tatizo la ugaidi Tanzania.
Wapumbavu tuu haoHata dar kuna misikiti wanajifunza kug fu sijui wanataka kumpiga Allah yaan hawa watu wamevurigwa
Hata ukiniblock hakuna la maana unalonisaidia hadi niumie kwa block yako.Natamani nikujobu il nimegundua wewe ni empty headed. Huwezi ku generalize huku ukijua kuwa humu jf kuna watu wa imani tofauti na hata Rais wa nchi anapita humu na ni Muislam.
Sijui kwa nini moderators wanaruhusu hii mijadala ya imani humu vipi kila upande ukianza kujibu mapigo. Mfano wewe unaona dini yako imekamilika kwa lipi. Staki sn ku argue na wewe sana sana nitaku block bure. Mimi huwa simpendi mtu anaeshambulia Imani ya mtu au kumtukana mtu ambae hajamtukana. Staarabika kwanza kabla haujastaarabishwa.
πππ bibi mfia dini
Mtume Mudi alikuwa anahubiri upanga uko kiunoni.Habari hii imerushwa ITV saa 2 hii usiku.
Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha imekifunga chuo kimoja cha mafunzo ya kiislam kwa kutishia Amani na usalama wa nchi ambapo wamewakuta vijana walioachishwa shule za msingi na sekondari walioenda kufunzwa Imani Kali na mapigano (Karate na judo)
Mkuu wa Wilaya ha Longido amefanya hilo leo baada ya kamati ya usalama kupata taarifa juu ya mafunzo yanayofanywa kwenye chuo hiko kisichosajiliwa.
Kimsingi vyuo hivi vipo sehemu mbalimbali nchini na ni hatari kwa usalama wa nchi kwani vijana hawa huchukuliwa sehemu mbalimbali kwa lengo la kuja kufundishwa dini na itikadi mbali.
Chuo gani, je kina usajili?Hayo mafunzo yawe regulated sio kufunga vyuo...
Acha kujiliza. Hakuna sehemu mimi kana muanzisha uzi nimitweza imani ya watu. ITV waneonesha habari hii saa 2 katika taarifa ya habari. Pia usiwafundiahe kazi mods au kujiliza ili tusiseme madhaifu kwa kuhofia kukashafiwa kwa dini. Acha kujiliza dogo.Moderators hivi mbona huwa mnafungia nyuzi za maana lakini mnaacha nyuzi za hovyo zenye kejeli, vijembe, na dharau km hizi. Kujadili Imani ya mtu kwa kuitweza au kuishambulia kwa dhihaka ni upumbavu na ukosefu wa elimu kichwani. Vipi hapa watu wakianza kushambuliana kwa kuangalia madhaifu ya imani zao itakuwaje. Lazima italeta MTUKUTIKO. Tusitaaribike na wale watoto waliomo humu wanaotoa michango au kuanzisha nyuzi za hovyo nashauri wapigwe ban. Humu wabaki watu wazima wenye kujenga hoja sio kuleta vihoja
Uislamu ni laana, muislamu yeyote yule....