Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

Shida inakuja hapa mnapoongea kichuki


Uislamu toka lini unabrainwash watu?


Uislamu unakataza kusoma elimu isiyo ya dini?

Hao wenye misimamo hiyo hata huo uislamu hawaujui

Ila siwanavaa kanzu na kibaragashia?

Hicho ndio kinawachafua waislamu wote
 
Ngosha...
YMCA Dar es Salaam walikuwa na mafunzo ya karate na vijana wengi walihitimu pale na kuipata mikanda.

Nadhani na Don Bosco walikuwa na mafunzo kama hayo.

Mimi siwezi kuandika kama ulivyoandika wewe kuwa walikuwa wanataka kumpiga nani?

Kujifunza karate sio kosa ila kujifunza kimaficho huku mafunzo hayo kuambatana na mafunzo ya misimamo mikali na udini ndipo tatizo linapoanza
 
Asante
 
Hata ukiniblock hakuna la maana unalonisaidia hadi niumie kwa block yako.

Mm n Mkristo nako pia kuna upuuzi wake ila upuuzi wa Kiislamu ni mkubwa zaidi.
Sasa km upo mentally matured ungehangaika kuondoa au kukemea madhaifu ya imani yako siyo kukandia ya wenzio ungefanya hivyo unge balance mzani. After all mimi nimesema huwa sipendi ku argue na mtu dizaini yako, nadhani tuishie hapa.
 
Aki...
Suala la ugaidi limekuwa nyeti sana.

Mamlaka husika zimeshindwa kuthibitisha bila chembe ya wasiwasi kuwa tunalo tatizo la ugaidi Tanzania.

We mnafiki,unajitoa akili umesahau mabomu ya ubalozi wa usa,mauaji ya kibiti,mapango ya amboni n.k
 
Wakija kupiga pepa necta wanasema serikali inawafelisha.
 
Mmojawapo wa itikadi Kali huyu uku
 
Ficha ujinga wako, kuna mtu anaweza teka nchi kwa kupigana karate?
 
WHY MUSLIMS, WHY, WHY????
Pwani, Muslims
Dodoma, Muslims
Imepelekea Hadi huku Pwani imekua Kanda maalum because of Muslims.
Majini wao. Kufuga wasichana wao. Waislamu mna shida gani?
Au Kuna kitu mnakijua sie hatukijui.???
Tanga nako kipo chuo Cha bure wanachotuharibia vijana wetu taifa la kesho.
 
iko wapi vidio nami babu njunju nipate kuona na kucheka
 
Chuo hakijasajiliwa.

Chuo kinaenda kinyume na sheria za nchi na kukiuka haki za watoto kama vile kupata elimu rasmi.

Chuo kinafundisha "itikadi kali". Hatuna mipango hiyo, hili taifa ni secular na litabaki hivyo, hatuna haja ya kumchinja mkristo wala muislamu kisa sio wa dini mojawapo.

Hata ukisema ktk Quran kuna kila kitu kama mnavyosema

Geography,Physics,Chemistry,Mathematics lakini hakuna formula humo. Tutatengeneza taifa la wajinga,ingawa mpaka sasa ni taifa lenye upumbavu mwingi.

Iran, Iraq, Saudi kote wanafundisha science wanawajua kina Isaac Newton,Nichola Tesla na formula zao, na wanazitumia. Huko chuo/kituo wamekazana kuponda mifumo ya elimu na kuiita mifumo kristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…