Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

Shida inakuja hapa mnapoongea kichuki


Uislamu toka lini unabrainwash watu?


Uislamu unakataza kusoma elimu isiyo ya dini?

Hao wenye misimamo hiyo hata huo uislamu hawaujui

Ila siwanavaa kanzu na kibaragashia?

Hicho ndio kinawachafua waislamu wote
 
Ngosha...
YMCA Dar es Salaam walikuwa na mafunzo ya karate na vijana wengi walihitimu pale na kuipata mikanda.

Nadhani na Don Bosco walikuwa na mafunzo kama hayo.

Mimi siwezi kuandika kama ulivyoandika wewe kuwa walikuwa wanataka kumpiga nani?

Kujifunza karate sio kosa ila kujifunza kimaficho huku mafunzo hayo kuambatana na mafunzo ya misimamo mikali na udini ndipo tatizo linapoanza
 
Acha kujiliza. Hakuna sehemu mimi kana muanzisha uzi nimitweza imani ya watu. ITV waneonesha habari hii saa 2 katika taarifa ya habari. Pia usiwafundiahe kazi mods au kujiliza ili tusiseme madhaifu kwa kuhofia kukashafiwa kwa dini. Acha kujiliza dogo.
Asante
 
Hata ukiniblock hakuna la maana unalonisaidia hadi niumie kwa block yako.

Mm n Mkristo nako pia kuna upuuzi wake ila upuuzi wa Kiislamu ni mkubwa zaidi.
Sasa km upo mentally matured ungehangaika kuondoa au kukemea madhaifu ya imani yako siyo kukandia ya wenzio ungefanya hivyo unge balance mzani. After all mimi nimesema huwa sipendi ku argue na mtu dizaini yako, nadhani tuishie hapa.
 
Aki...
Suala la ugaidi limekuwa nyeti sana.

Mamlaka husika zimeshindwa kuthibitisha bila chembe ya wasiwasi kuwa tunalo tatizo la ugaidi Tanzania.

We mnafiki,unajitoa akili umesahau mabomu ya ubalozi wa usa,mauaji ya kibiti,mapango ya amboni n.k
 
Ndani kuna gym moja matata kwa ajili ya watoto. Na watoto wanasema walikuwa wanafanya mazoezi ya hatari. Mwenye kituo anaongea kwa kujiamini anasema hajui kosa lake. Watoto wanaacha shule nchi nzima, wanaenda kujichimbia kufanya hayo mazoezi magumu.
Eti ndio Wanapata ilimu

Aisee ni noma mno. Nasubiria waje kujitetea.
Wakija kupiga pepa necta wanasema serikali inawafelisha.
 
Karate ina shida gani! Na hizo imani au sijui siasa kali ndiyo zipi? Nchi ina udini hii watangaze tu kama nchi ni ya kikristo kama Zambia kuliko kuwafanyia visa Waislamu kila siku halafu nawashangaa sana viongozi waislamu wanavyokaa kimya kama mazuzu!
Mmojawapo wa itikadi Kali huyu uku
 
Kimsingi vyuo hivi vipo sehemu mbalimbali nchini na ni hatari kwa usalama wa nchi kwani vijana hawa huchukuliwa sehemu mbalimbali kwa lengo la kuja kufundishwa dini na itikadi mbali.

Swali muhimu: mfadhili/hi ni akina nani

Sent using Jamii Forums mobile app
Ficha ujinga wako, kuna mtu anaweza teka nchi kwa kupigana karate?
 
WHY MUSLIMS, WHY, WHY????
Pwani, Muslims
Dodoma, Muslims
Imepelekea Hadi huku Pwani imekua Kanda maalum because of Muslims.
Majini wao. Kufuga wasichana wao. Waislamu mna shida gani?
Au Kuna kitu mnakijua sie hatukijui.???
Tanga nako kipo chuo Cha bure wanachotuharibia vijana wetu taifa la kesho.
 
Ndani kuna gym moja matata kwa ajili ya watoto. Na watoto wanasema walikuwa wanafanya mazoezi ya hatari. Mwenye kituo anaongea kwa kujiamini anasema hajui kosa lake. Watoto wanaacha shule nchi nzima, wanaenda kujichimbia kufanya hayo mazoezi magumu.
Eti ndio Wanapata ilimu

Aisee ni noma mno. Nasubiria waje kujitetea.
iko wapi vidio nami babu njunju nipate kuona na kucheka
 
Tuweke udini pembeni

Je Watanzania hawapaswi kujifunza karate na judo? Je mbinu za kujilinda ni kinyume na sheria za nchi? Hizi tahariko tunazobabatizwa nazo kila mara kwa jina la ulinzi na usalama, kwa nini serikali isipeleke mamluki wake hapo nao wakajifunza hayo mafunzo ili kuyachuja kama ni hatari kwa jamii? Naona badala yake ni hizi Kamati za Ulinzi na Usalama zimejikita kwenye kupambania taharuki kuliko kutumia weledi na akili kudeal na haya mambo
Chuo hakijasajiliwa.

Chuo kinaenda kinyume na sheria za nchi na kukiuka haki za watoto kama vile kupata elimu rasmi.

Chuo kinafundisha "itikadi kali". Hatuna mipango hiyo, hili taifa ni secular na litabaki hivyo, hatuna haja ya kumchinja mkristo wala muislamu kisa sio wa dini mojawapo.

Hata ukisema ktk Quran kuna kila kitu kama mnavyosema

Geography,Physics,Chemistry,Mathematics lakini hakuna formula humo. Tutatengeneza taifa la wajinga,ingawa mpaka sasa ni taifa lenye upumbavu mwingi.

Iran, Iraq, Saudi kote wanafundisha science wanawajua kina Isaac Newton,Nichola Tesla na formula zao, na wanazitumia. Huko chuo/kituo wamekazana kuponda mifumo ya elimu na kuiita mifumo kristo.
 
Back
Top Bottom