Mi nimerejea ile thread bosi, JF ni jukwaa huru na tujajua kutumia sheria za jukwaa, sijamtaja mtu kabisa wala kiongozi. Sema ule uzi hakika umeshiba na kusheheni newa matata za wahusikaAcha uongo utakuponza.
Karma is real, Kuna kitu kina muuma🤣🤣🤣🤣🪑🪑🪑💺💺💺🎶Ndugu mpina ,Samia anasema kijitabu kijitabu,Kwanza ilitakiwa mabeyo akamatwe Kwa kuvunja katiba ,Nani alimwambia awe msemaje wa familia?
Yaani katiba inauzwa shs 10000 pale kariakoo alishindwa kwenda kusoma utaratibu wa Rais akifa Nani anafuata?Mabeyo akaisaidie polisi!Joni amekufa 2021 Kwa nini hiyo hadithi asimulie Sasa?
Bilashaka anaamini kua JPM angekuwepo, maendeleo Kisesa yangekua juu na hataki yajirudie anayohisi yalitokea kwa JPM.....Mpina pigania maendeleo ya wananchi wa Kisesa
Nenda YouTube search SKMEDIA Ndiko hoja ilikoanzia 🤣🤣🤣🪑🪑💺💺🎶🎶Ila mpina hii mada aliyoleta italeta maneno
Nani anatikwa kutangaza kifo cha Rais, bado huoni kuna nafasi ya kusema Makamu alipora madaraka?Ndugu mpina ,Samia anasema kijitabu kijitabu,Kwanza ilitakiwa mabeyo akamatwe Kwa kuvunja katiba ,Nani alimwambia awe msemaje wa familia?...
Yes ,siiuwahi kumpenda lkn ss nimegundua,ndo rais BoraMbunge km huyu Kuna wananchi nao walipanga foleni kwenda kumpigia kura penginepo jua likiwachomaa😅😅
Na kamwe hazitarejeaHuyu anafosi uwaziri, Zama za Sukuma gang zimepita.
Tulifichwa ugonjwa wa Magufuli itasumbua sana hii.Nani anatikwa kutangaza kifo cha Rais, bado huoni kuna nafasi ya kusema Makamu alipora madaraka?
nani alithibitisha Rais aliugua nini?
Yote yata unganishwa hapo.Ni Jambo Jema Sana ila nadhani wangeanza na uchunguzi wa waliomshambulia Lissu
Hiyo ni sawa na kusema, hao mnaowatumia kama ndio kihalalisho cha kifo chake, mfano kina Ben saananee, Tundu Lissu Mdude n.k Kama ilishatokea, ishatokea. Mjadala ufungwe?Kwani hakutakiwa kufa? Kakufa kakufa TU
Tena hao ndio wa Kwanza.Kwa hao wote mbowe anahusika na genge lake la mabeberu walitaka kutengeneza taharuki. Akamatwe gaidi mbowe kwanza maana kesi alifutiwa na Dkt Samia