Mhh, mara ya kwanza tuliambiwa wanaotolewa ni wale wenye jambo Lao 2025, kulikoni tena leo kauli imegeuka?Salaam Wakuu,
Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia ya kuwasimamia Mawaziri...
Lukuvi waziri zaidi ya miaka 20? Nonsense acha uongoMtu kama lukuvi, Waziri zaidi ya miaka 20, bado analilia ajira, hivi huyu ana uwezo wa kuweka sera ya vijana kujiajiri kama yeye anasubiri ajira ya ubunge na uwaziri? Pensheni ya uwaziri kwa miaka zaidi ya 20 aliifanyia nini?
Samia ni muongo muongo tuu, kasema vile kujisafisha baada ya kukosolewa kila kona ya nchiNinawaza na kubaki mdomo wazi,Kwanin wazee kama akina Lukuvi na Kabudi wamepewa ofisi ikulu ya kumsaidia mama, huku wakiwasimamia wateule wake!
Hapa napata wasiwasi wa mwingiliano wa majukumu na Katibu mkuu kiongozi.
Wakongwe kama akina Paschal Mayala naomba utujuze.
Kazi iendeleeHalafu nini kazi ya baraza la mawaziri? Hapa kwa kweli naona uhuru wa Rais umezidi sana. Yaani anaamua tu kuanzisha ofisi hata haipo kikatiba ?
Kifungu cha katiba sio sheria.
Anawapeleka kuwaweka kifungo cha ndani ikuluKivipi🤔.
Hivi ni kweli alimkaba roba yule mwananchi hadi akaitema hela? [emoji848],,Usibabaishwe na majina mkuu. Huyo Lukuvi wanaomjua ni tofauti kabisa na unavyomuongelea wewe.
Usimhukumu mtu kwa jina lake, usikariri majina ya watu ukadhani na ufanisi wao wa kazi utakuwa hivyo hivyo.
Ninawaza na kubaki mdomo wazi,Kwanin wazee kama akina Lukuvi na Kabudi wamepewa ofisi ikulu ya kumsaidia mama, huku wakiwasimamia wateule wake!
Hapa napata wasiwasi wa mwingiliano wa majukumu na Katibu mkuu kiongozi.
Wakongwe kama akina Paschal Mayala naomba utujuze.
Wamefanywa kuwa desk officers, huyu mama kweli anatuvurugia nchi yetu. Yaani kweli Nape, Makamba, na Ridhiwani anawaona wa maana?Kwa cheo hicho, tafsiri yake ni kwamba, kwa sasa Kabudi ni mtumishi wa wizara inayohusika na wawekezaji! Na atakuwa anaagizwa na waziri husika!
Hata ubunge wake anashinda kwa rushwa ya Ulanzi na viberitiMtu kama lukuvi, Waziri zaidi ya miaka 20, bado analilia ajira, hivi huyu ana uwezo wa kuweka sera ya vijana kujiajiri kama yeye anasubiri ajira ya ubunge na uwaziri? Pensheni ya uwaziri kwa miaka zaidi ya 20 aliifanyia nini?