DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
SawaRais mwenyewe kasema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaRais mwenyewe kasema
Ni janja ya kuwaondoa kwenye mood ya kugombea uspika,adui muweke karibu...Salaam Wakuu,
Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia ya kuwasimamia Mawaziri.
View attachment 2075769
Rais Samia kasema watu Wasimpake matope Lukuvi. Wala Wasimsingizie kwamba anaenda kugombea Uspika bali Wamuache amsaidie kazi Ikulu ya Kusimamia hawa Mawaziri Vijana aliowateua.
"Wengine wameanza kumletea [William Lukuvi] meseji za ajabu ajabu wakijua atagombea Uspika, hatogombea. Ana kazi na mimi. Kaka yangu Lukuvi, yeye ana kazi na mimi, mtaisikia baadaye. Lakini namvuta Ikulu, kazi yetu ni kuwasimamia nyinyi.kasema Rais Samia
Rais Samia amesema Kabudi atakuwa na Kazi moja tu Ikulu, Kusimamia kupitia na Kushughulikia Mikataba yote ambayo Serikali inaingia.
"Kabudi amefanya kazi nzuri sana kusimamia majadiliano ya serikali na mashirika, na ndiyo kazi ninayotaka nimkabidhi sasa kindakindaki...Mashirika yote, kazi zote zitakazoingia ubia na serikali, Kabudi ataongoza hiyo timu. Kwa hiyo yeye ni baba mikataba." amesema Rais Samia Suluhu
Amesema hizi kazi hazipo kwenye Muundo wa Serikali lakini anaona ni Msaada Mkubwa Kwake.
We unazijua kazi zote za Ikulu?Ni hatari sana kazi gani wanazopewa Ikulu wakati hazipo kwenye utaratibu wa Serikali . Hayo siyo matumizi mabaya ya fedha
Kusimamia mawaziri kwani kazi ya waziri mkuu ni ipo. Waziri mkuu naye anahitaji kusimamiwa kwenye kazi yake.
Mikataba ina simamiwa vipi wakati kuna bunge
Hotuba ya Mhe. Rais wakati wa uapishoChanzo Cha taarifa yako?
SPIKA WANA.MTU WAO ambaye hatawaangushaSalaam Wakuu,
Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia ya kuwasimamia Mawaziri.
View attachment 2075769
Rais Samia kasema watu Wasimpake matope Lukuvi. Wala Wasimsingizie kwamba anaenda kugombea Uspika bali Wamuache amsaidie kazi Ikulu ya Kusimamia hawa Mawaziri Vijana aliowateua.
"Wengine wameanza kumletea [William Lukuvi] meseji za ajabu ajabu wakijua atagombea Uspika, hatogombea. Ana kazi na mimi. Kaka yangu Lukuvi, yeye ana kazi na mimi, mtaisikia baadaye. Lakini namvuta Ikulu, kazi yetu ni kuwasimamia nyinyi.kasema Rais Samia
Rais Samia amesema Kabudi atakuwa na Kazi moja tu Ikulu, Kusimamia kupitia na Kushughulikia Mikataba yote ambayo Serikali inaingia.
"Kabudi amefanya kazi nzuri sana kusimamia majadiliano ya serikali na mashirika, na ndiyo kazi ninayotaka nimkabidhi sasa kindakindaki...Mashirika yote, kazi zote zitakazoingia ubia na serikali, Kabudi ataongoza hiyo timu. Kwa hiyo yeye ni baba mikataba." amesema Rais Samia Suluhu
Amesema hizi kazi hazipo kwenye Muundo wa Serikali lakini anaona ni Msaada Mkubwa Kwake.
Privacy hakuna sikuhizi kwenye simu? Au!"Wengine wameanza kumletea [William Lukuvi] meseji za ajabu ajabu wakijua atagombea Uspika, hatogombea.
Hakumbuki kama alisema ivo, hahahahahaha mkumbusheni ukiwa mwongo uwe na kumbukumbuKwahio hii ni Kazi Mpya au ?
Wanajitolea au ni Matumizi mengine ya fedha zetu ?
Kwahio kama amewatoa sababu ya umri na wanafaa sana kwa ushauri, wale aliowatoa ili waende wakafanye matayarisho 2025 / hawaendani na kasi yake ni kina nani ?
Amebanwa na mlango!
Wamekuwa kama lytonga Mrema. Naibu Waziri MkuuSalaam Wakuu,
Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia ya kuwasimamia Mawaziri.
View attachment 2075769
Rais Samia kasema watu Wasimpake matope Lukuvi. Wala Wasimsingizie kwamba anaenda kugombea Uspika bali Wamuache amsaidie kazi Ikulu ya Kusimamia hawa Mawaziri Vijana aliowateua.
"Wengine wameanza kumletea [William Lukuvi] meseji za ajabu ajabu wakijua atagombea Uspika, hatogombea. Ana kazi na mimi. Kaka yangu Lukuvi, yeye ana kazi na mimi, mtaisikia baadaye. Lakini namvuta Ikulu, kazi yetu ni kuwasimamia nyinyi.kasema Rais Samia
Rais Samia amesema Kabudi atakuwa na Kazi moja tu Ikulu, Kusimamia kupitia na Kushughulikia Mikataba yote ambayo Serikali inaingia.
"Kabudi amefanya kazi nzuri sana kusimamia majadiliano ya serikali na mashirika, na ndiyo kazi ninayotaka nimkabidhi sasa kindakindaki...Mashirika yote, kazi zote zitakazoingia ubia na serikali, Kabudi ataongoza hiyo timu. Kwa hiyo yeye ni baba mikataba." amesema Rais Samia Suluhu
Amesema hizi kazi hazipo kwenye Muundo wa Serikali lakini anaona ni Msaada Mkubwa Kwake.
... aifutilie mbali Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali maana tafsiri yake imeshindwa kazi.Kweli Rais ana madaraka makubwa. Kwa hiyo anacreate ajira special kwa hawa wazee wawili. Halafu Samia yupo addicted na mitandao. Anasoma sana mitandao. Lukuvi atakuwa mshauri wa Rais ama?Kabudi tumeambiwa anaongonza majadiliano ya mikataba. Stupid.Wakifa na kaburini awafuate. Maana as if bila wao nchi haiendi. Stupid
Kama habari hii ni ya kweli, kazi ya mwana sheria mkuu wa serikali ni ipi? Kazi ya waziri mkuu ni ipi? Huenda ndio utaratibu wa marais toka Zanzibar, Mwinyi nae aliwahi buni nafasi ya naibu waziri mkuu!!
Kweli Rais ana madaraka makubwa. Kwa hiyo anacreate ajira special kwa hawa wazee wawili. Halafu Samia yupo addicted na mitandao. Anasoma sana mitandao. Lukuvi atakuwa mshauri wa Rais ama?Kabudi tumeambiwa anaongonza majadiliano ya mikataba. Stupid.Wakifa na kaburini awafuate. Maana as if bila wao nchi haiendi. Stupid
Mkuu hilo ni jibu, pigia msitari....au ndiye member wa hapa maarufu kama FaizaFoxy?Halafu Samia yupo addicted na mitandao
Dira haipo mitandaoniBila kusoma atapataje Dira? Acha asome.