Ina maana kwa TZ sio bunge linalopitia na kuhakiki mikataba?
 
Ni janja ya kuwaondoa kwenye mood ya kugombea uspika,adui muweke karibu...
 
We unazijua kazi zote za Ikulu?
 
SPIKA WANA.MTU WAO ambaye hatawaangusha

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kwahio hii ni Kazi Mpya au ?

Wanajitolea au ni Matumizi mengine ya fedha zetu ?

Kwahio kama amewatoa sababu ya umri na wanafaa sana kwa ushauri, wale aliowatoa ili waende wakafanye matayarisho 2025 / hawaendani na kasi yake ni kina nani ?
Hakumbuki kama alisema ivo, hahahahahaha mkumbusheni ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu
 
Wamekuwa kama lytonga Mrema. Naibu Waziri Mkuu
 
Kifupi wataendelea kulipwa mishahara minono nje ya ubunge, wataendelea kutumia ile migari miV8 na heshima zote mabarabarani, bado ni waheshimiwa na familia zao zitaendelea kuheshimiwa kila kona.

Sisi tuendelee kupiga soga na ushabiki wetu maandazi tu.
 
... aifutilie mbali Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali maana tafsiri yake imeshindwa kazi.
 
Ameamua kuwaosha baada ya watu kuongea saana kwenue Mitandao ya kijamii! Kikubwa Mama ajaribu kupuuza mihemko ya watu wa mitandaoni itamharibia kama atakuwa kila kelele ya mtandaoni anataka kuitolea ufafanuzi! Sijaona haja ya kulisema hilo
 
Halafu Samia yupo addicted na mitandao
Mkuu hilo ni jibu, pigia msitari....au ndiye member wa hapa maarufu kama FaizaFoxy?
 
Kinachomponza Samia ni kusoma sana mitandaoni!

Alafu sasa ile sababu ya kuwatoa aliyoisema kumbe ilikuwa ya uongo?

Ok.. Swali kwa machadema, je hao tena si sukuma gang
Joanah umesikia? Mitandao sio mizuri.
 
Mwambie I Angela Manila Ni bomu..hamna kitu pale. Rushwa idara ya ardhi inarudi by supersonic speed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…