G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Wamekula kiapo? Maana huruhusiwi kuingia kwenye baraza la mawaziri kama hujala kiapo hadharaniMawaziri wasiokuwa na wizara maalumu kama alivyokuwa Kingunge enzi za mchonga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekula kiapo? Maana huruhusiwi kuingia kwenye baraza la mawaziri kama hujala kiapo hadharaniMawaziri wasiokuwa na wizara maalumu kama alivyokuwa Kingunge enzi za mchonga.
Mkuu mbna unaweweseka hv msimamo wako huwa ni upi hasa ....!!! Dunia haiko kihivyo Mzee, utaendelea kushangaa dailyKwahiyo Mkuchika ni bonge la kijana hadi akasimamiwe na Lukuvi? Mwambieni maza asituone wakuja kiivyo
Teh teh teh....Rais Samia ataja Chawa watakaomsaidiaMaisha bhana ! kutoka kuwa Waziri hadi kuwa CHAWA !
That will never happen.Calm down mkuu mbona povu tena
Hili ni tatizo la kikatiba kuendelea kumlaumu huyu mama kwa anayoyafanya mnamuonea tuu katiba imempa nguvu kubwa sana.Ni hatari sana kazi gani wanazopewa Ikulu wakati hazipo kwenye utaratibu wa Serikali . Hayo siyo matumizi mabaya ya fedha
Kusimamia mawaziri kwani kazi ya waziri mkuu ni ipo. Waziri mkuu naye anahitaji kusimamiwa kwenye kazi yake.
Mikataba ina simamiwa vipi wakati kuna bunge
Hawataki Lukuvi Awe Spika wamemtafutia pa kumfichaSalaam Wakuu,
Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia ya kuwasimamia Mawaziri.
View attachment 2075769
Rais Samia kasema watu Wasimpake matope Lukuvi. Wala Wasimsingizie kwamba anaenda kugombea Uspika bali Wamuache amsaidie kazi Ikulu ya Kusimamia hawa Mawaziri Vijana aliowateua.
"Wengine wameanza kumletea [William Lukuvi] meseji za ajabu ajabu wakijua atagombea Uspika, hatogombea. Ana kazi na mimi. Kaka yangu Lukuvi, yeye ana kazi na mimi, mtaisikia baadaye. Lakini namvuta Ikulu, kazi yetu ni kuwasimamia nyinyi.kasema Rais Samia
Rais Samia amesema Kabudi atakuwa na Kazi moja tu Ikulu, Kusimamia kupitia na Kushughulikia Mikataba yote ambayo Serikali inaingia.
"Kabudi amefanya kazi nzuri sana kusimamia majadiliano ya serikali na mashirika, na ndiyo kazi ninayotaka nimkabidhi sasa kindakindaki...Mashirika yote, kazi zote zitakazoingia ubia na serikali, Kabudi ataongoza hiyo timu. Kwa hiyo yeye ni baba mikataba." amesema Rais Samia Suluhu
Amesema hizi kazi hazipo kwenye Muundo wa Serikali lakini anaona ni Msaada Mkubwa Kwake.
MY TAKE:
Je, Kassim Majaliwa na Mkuchika Wameshindwa kumsaidia rais? Kwanini Lukuvi na Kabudi wawe juu yao?
Kapteni George Huruma Mkuchika yeye ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) na Waziri Mkuu ni msimamizi wa shughuli zote za serikali katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anawakilisha serikali katika bunge la taifa. Yuko chini ya mamlaka ya rais.
Anajikosha kwa nani? Hamjui nguvu aliyo nayo Rais wa nchi hii kikatiba hana sababu ya kumuogopa kenge yeyote.Anajikosha!
Wewe mjane wa pombe unaiwaza chadema kuliko hata unavyomuwaza mume wako.Kinachomponza Samia ni kusoma sana mitandaoni!
Alafu sasa ile sababu ya kuwatoa aliyoisema kumbe ilikuwa ya uongo?
Ok.. Swali kwa machadema, je hao tena si sukuma gang
Put your enemies closer.....Wamedhibitiwa!
CHAWAVyeo gani hivi???
Mbona Watanzania hatuna jema? Juzi na jana watu walikuwa wanahoji kuachwa hawa viongozi wetu. Leo Rais kasema sababu za kuwaacha na kwamba atawatumia maeneo mengine zimeibuka sarakasi nyingine! Tumuache Rais afanye kazi. Dah!🙏🙏Kweli Rais ana madaraka makubwa. Kwa hiyo anacreate ajira special kwa hawa wazee wawili. Halafu Samia yupo addicted na mitandao. Anasoma sana mitandao. Lukuvi atakuwa mshauri wa Rais ama?Kabudi tumeambiwa anaongonza majadiliano ya mikataba. Stupid.Wakifa na kaburini awafuate. Maana as if bila wao nchi haiendi. Stupid
Naam kosa ni la Mother Mteuaji na sio WateuleKwahiyo Mkuchika ni bonge la kijana hadi akasimamiwe na Lukuvi? Mwambieni maza asituone wakuja kiivyo