Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima
Screenshot_20200729-145235_Facebook.jpg
Screenshot_20200729-145218_Facebook.jpg
Screenshot_20200729-145841_Facebook.jpg

Japo ni maumivu lakini naona Mkwere anatupa jiwe tiii kwenye ndege likikufikia poa tu maana mkwere bhana ni sehemu yake sasa ya kujimwambafyi.
 
Hahah kama amesema hivyo atakua ameanza kuirithi kazi ya Mkapa kwa ueledi kabisa ile ya 'kumfunga Paka Kengele',hahah.
 
Hahah kama amesema hivyo atakua ameanza kuirithi kazi ya Mkapa kwa ueledi kabisa ile ya 'kumfunga Paka Kengele',hahah.
Ila naona kama vile haogopi kusema au yupo huru sasa baada mbeleko kuchanika
 
Jakaya ameamua kupasuka,mjeshi huyu tusisahau. Naona alikuwa anawasiliana na Mkapa kuhusu mwelekeo wa nchi,akawa anamtanguliza Mkapa. Kwa sasa Kikwete inabidi aite beleshi kwa jina lake,sio kijiko kikubwa
 
MATAGA Hotuba ya @jmkikwete
- Wananchi walisikilizwe na kupewa majibu ya changamoto
- Washindani wa kisiasa sio maadui
- Kusifiwa sio uimara
- Mkuu achukue ushauri kwa waliomtangulia afanye wepesi
- Kiongozi mzuri ujenga sera kuondoa wananchi katika ufukara #RIPMzeeMkapa https://t.co/DH1Jarybi6
 
How do you know we didn’t do that!? 😳
Nilikuwepo eneo la uwanja wa ndege Lissu alipofika kwahiyo niliwaona, wakiongozwa na Mbowe ambae hakuvaa, Lissu mwenyewe aliivaa kidevuni
 
Karudie kusoma swali nililokuuliza. Sikukuuliza kuhusu KUWEPO au KUTOKUWEPO uwanja wa ndege. Acha KUKURUPUKA!

Nilikuwepo eneo la uwanja wa ndege Lissu alipofika kwahiyo niliwaona, wakiongozwa na Mbowe ambae hakuvaa, Lissu mwenyewe aliivaa kidevuni
 
Back
Top Bottom