Mzee Benjamin Mkapa Tunakukumbuka Kwa Kutuwekea Kasi na Viwango Serikalini. Tutakukumbuka kwa Maono yako BORA YA KUKUZA uchumi wa taifa letu pendwa...

R.I.P
Ndiye Rais aliyeiunda Taasisi ya TANROADS kama ilivyo leo na vile vile TRA. Miaka ya zamani kazi zote za ujenzi wa barabara ziliaminika kuwa zinafanywa na wazungu.

Mkapa aliondoa dhana hiyo.
 
Hivi vyombo vyetu havina watu wanaochambua kwanza watu wa kuwahoji kabla ya kuwakaribisha studio? Hivi kwa Udhaifu wa kifikira aliounesha Msekwa siku za karibuni alikuwa wa kualikwa kuongelea tukio kubwa kama hili?
 
huyo mzee wasiwe wan mhoji ...ameshachoka mwili,roho na akili! Mimi huwa simwelewi kabisa zaidi ya kusoma vitabu vyake (Ili nijibie mitihani)
 


Hakuna hata siku moja huyu Mkapa aliomba radhi , si rahisi kusamehe
 

Attachments

Hayo maombolezo yako ndiyo ya kuyaandika kwenye daftari la maombolezo.
 
Alifikiri hatokufa, sasa akakutatane na aliowauwa.
Mungu amlipe anachostahili.
Kila nafsi itaonja mauti, tuwe waadalifu tunapotunukiwa neema haswaa, ya afya, utajiri & power, mauti ndio mwisho wetu na tutalipwa kwa tulichopanda.
Yalitokea akiwa RAIS hakuwa Mkapa; na hunahakai ya kuhukumu mtu yeyote usifanye kazi isiyo yajo
 
Ni afadhali Mkapa alikuwa mtu mwenye kuruhusu maandamano na demokrasia, siku hizi andamana uone. Sijui huyu akifa watu watasema nini kuhusu mchango wake kwenye demokrasia ya taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…