Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Mgaya yuko Lupaso tangu jana!Mzee ,Mgaya yupo
Wacha wazikane , unakwenda kufanya nini?Bado sijafika Lupaso..... Nitaenda huko mapema asubuhi.
Chadema hapa Masasi wako vizuri!
Kitu gani kinachokufanya useme hivyo?Umekuja kutapika!!?
Afute kwanza kauli yake ya "MALOFA" ndipo apewe fursa ya kupumzika.
Ilitakiwa Mheshimiwa awaombe watanzania msamaha kwa kauli zile za marehemu.
Sent using Jamii Forums mobile app
johnthebaptist leo umeamkaje? Naona zimakulalia. Mbona saa tatu bado au saa yangu iko nyuma?Karibu.
Tuko mubashara katika luninga zote.
Live ipo angalia milard na global tvLeo mbona hamna youtube live? wengine tuko maofisini tulipenda tuone angalau mandhari kisha tuendelee na kazi huku tunasikiliza wakianza kuzika pia tuone
Ebu jibu, saa 3 bado ninapoandika hapa.. it is 8:46 AM halafu uansema misa imeanza sharp saa tatu!Karibu.
Tuko mubashara katika luninga zote.
Amrehemu vipi!Mungu amrehemu mzee Mkapa
Tumechoka