Ma brother wa miaka 35+ hebu tupeni wadogo zenu, ushauri wowote wa kuhusu maisha

Sahihi kbsa mkuu
 
3.ukimaliza na hayo hapo juu tafuta familia ya mke mmoja,aliye bikiria.
Ni pimbi tu ,ataenda kutoa mahali kwa mwanamke aliyekwisha tumika na wenzake,Binti amepigwa blowjob za kutosha hostel huko, wewe unaenda kumpigia magoti,acha huu ufala
Naona hii ya kuoa mabikra nayo inataka kuwa kama movement fulani hivi. Vijana sasa hamtaki kuoa mabinti waliokuwa wameolewa kwa ndoa bubu kwa miaka mitatu huko vyuoni; na mimba wakatoa? Kama mtaoa graduates, hao mabikra mtawapata wapi sasa? Hamjidanganyi tu? 😳
 
Hapo no.5 umetisha Sana mkuu ila ni upotoshaji WA kiwango cha juu sana
 
I love this πŸ’―
 
Mkuu shukrani kwa madini haya.

Suala la kutunza ngozi inakuwaje sasa hapo, tunalimalia vp?

Tunaombaa muongozo wako.
 
Eti Binti amepigwa blowjob za kutosha hostel huko, wewe unaenda kumpigia magoti,acha huu ufalaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Hapo no.5 umetisha Sana mkuu ila ni upotoshaji WA kiwango cha juu sana
Najua binadamu hasa wanaume hatupendi wanawake zetu kugo gwa ila ukweli ni kwamba wanagongwa sana tuuu. Sasa the choice is urs to accept reality or live in denial.
 
mweee, nime chukua namba 6 tu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…