Maandamano Iran: Hadi watu 35 wamekufa baada ya mwanamke kufia mikononi mwa polisi

Kwamba benki pasiwekwe ulinzi Ila raia wazuie tamaa zao dhidi ya pesa zilizopo benki!!
 
Hueleweki unataka kuwasilisha nini kilichopo kweny ubongo wako. Fedha zilipo benki na wanawake wapi wapi? Binadamu tumekuwa wanyama? Wewe unashindwa kujizuia unapoona kichwa cha mwanamke? Na yeye je akiona kichwa chako hashikwi tamaa?
 
Kwa hiyo tamaa kwenye pesa haipo ...Hadi pawekwe ulinzi!?...uislam unazuia chanzo Cha matatizo,hauzuwii matokeo japo una utatuzi kwa yote,zinaa mtu ahemkwi bila sababu ni mpaka aone,ndiyo maana ukaanza kukataza kuikaribia,Kisha stara,Kisha kitenganisha jinsia,Kuinamisha macho,adhabu kwa mtendaji...tamaa si kila mtu anaweza zuwia
 
Nauliza, wao wanawake hawana tamaa?
 
Ndio hadi kulazimika kuua mabinti js to prove a point on modesty?
 
Nyang'au wa ki Amerika wameshaingia hapo tayari
 
Ndio hadi kulazimika kuua mabinti js to prove a point on modesty?
Uislam unakataza kuua,Pana habari mbili juu ya kifo Cha huyo binti,polisi wanasema akipata mshituko wa moyo,familia yake inasema hakuwa na matatizo ya moyo,ila ukweli ni kafa mikononi mwa polisi...nini kilisababisha kifo chake!?..mateso au moyo!?
 
Ndo hicho ndo kimewakera waIran
 
Angeachwa na kichwa chake umauti usingemkuta, huo uzombi wa kidini unatesa sana dunia, mwarabu Muddy alikosea sana kwenye kulazimisha hiyo dini yake kwa hao Waajemi.
 
Ndo hicho ndo kimewakera waIran
Kuna watu Iran na nchi zingine za kiislam Wana hamu na maisha ya kikafiri,ulale na hawara usiku kucha mchana kutwa,kuelewa,fasheni..hawajui madhara yake,kwamba huku tunalea watoto tusio na uhakika Kama ni wetu kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…