Pre GE2025 Maandamano ya CHADEMA kuanzia Mbezi Mwisho na Buguruni hadi Ofisi za UN

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waonyesheni hizo barua wananchi maana hao mliowapelekea watakana mara tatu kabla jogoo hqlijawika na watawapiga hivyo ushahidi mzuri ni kuwahusisha wananchi cha kuongeza familia za viongozi wote wawe mstari wa mbele!

..Familia za viongozi wa Ccm ndio zitumike kuzima maandamano ya Chadema.

..kwanini Ccm wanatumia askari wanaotaka familia masikini kulinda madaraka na ulaji wa familia za vigogo wa Ccm?
 
Tanzania ilishaharibiwa siku nyingi. Na sasa wameanza kuiuza kwa Waarabu.

Maandamano ni ya Amani maCCM mnaogopa nini? Kama hamtaki maandamano na mezani hamtaki, mnataka nini?
Je ulitaka waiuze kwa nani wewe? Kwa Waingereza au Wamarekani?
 
Kwani wamekuita?Wewe tulia hapo Lumumba uwe unamuandalia chai Nchimbi na kuionja kama imekolea tangawizi.
 
..Familia za viongozi wa Ccm ndio zitumike kuzima maandamano ya Chadema.

..kwanini Ccm wanatumia askari wanaotaka familia masikini kulinda madaraka na ulaji wa familia za vigogo wa Ccm?
Tuliona jinsi lissu alivyokimbilia ubalozini huku mkewe akitangulia belgium,lema aliruka senyenge watoto wakipitishwa nairobi kuelekeq kanada mbona hakuwatoa mwewe kinyama nyama hicho hatoki mtu watoe wake zao na watoto wao watu wako busy kutafuta dona!
 
Enzi za JPM ulikuwa mkali kama moto......Asali imerudi kwenu mmegeuka😆😆
 
Huu nao ni upuuzi.Siasa za baba au mama unataka na watoto wao washirikishwe kwa nguvu?Halafu,ninyi hamjaalikwa muandamane.Bakini nyumbani kwenu muwe mnachungulia madirishani kama nyumba zinaungua.
Mpinzani wa kweli ni slaa na lipumba tu wakisema wanatoka wanakwenda na wake zao tulishuhudia mushumbuzi akivuja damu,lipumba akivunjwa mkono mbele regina!
 
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE

 
Yaani mtu kuandamana tu awe kilema? Mapimbi ya ccm bwana..kwani si maandamano yanaruhusiwa kisheria?.mbona wanapoandamana kuwapokea kina JOYCE WOWO hapo Lumumba hawawi vilema kama kuandamana ni kujitia ulemavu?
Kwanza wewe hutoki unakaa kwenye tv!
 

..Abduli ndiye anayepaswa kushughulikia wapinzani ili kulinda madaraka ya Mama yake.

..Na Watanganyika kuumiza Watanganyika wenzenu ili tutawaliwe na Mzanzibari ni utumwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…