Pre GE2025 Maandamano ya CHADEMA kuanzia Mbezi Mwisho na Buguruni hadi Ofisi za UN

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Enzi za JPM ulikuwa mkali kama moto......Asali imerudi kwenu mmegeuka๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Usiishi kwa kukariri, yule MAGUFULI ndiyo walipaswa kumfanyia haya maandamano. Instead wakaufyata na kukimbilia Canada na Belgium. Huyu kawaruhusu kufanya mikutano na uhuru wa maoni wanamdharau. Ngoja waonje NGONDOIGWA
 
Mpinzani wa kweli ni slaa na lipumba tu wakisema wanatoka wanakwenda na wake zao tulishuhudia mushumbuzi akivuja damu,lipumba akivunjwa mkono mbele regina!
Wake zao walikuwa wanachama wa vyama husika.Sasa kila siku mnakaza viuno kutaka watoto wao waandamane.Kwani wana uanachama au walikwambia kila wafanyalo wazazi wao ni lazima na wao wafanye?
 
Barabara, shughuli za kiuchumi, na mambo yote yanayohusisha maendeleo ya watu na taifa vyote kwa pamoja msingi wange ni utawala Bora na siasa.
Viongozi wa nchi, watu wa ulinzi na usalama wote wanatokana na siasa. Kwahyo kila jambo kwenye nchi yenye utawala wa Sheria (katiba) msingi wake ni siasa na utawala Bora kwahyo sio vema kupuuza shughuli za kisiasa.

Hivyo basi, Ikiwa wao chadema Wana hoja za msingi zinazowafanya wao waandamane basi waandamane ilimladi tu wawe sahihi kulingana na katiba yetu ya nchi.
Na Ikiwa nchi haitaki ghasia ya maandamano ya chadema kwa siku iliyopangwa basi namna sahihi ni Moja tu watawala watoe majibu au miongozo kuhusiana na hoja za hao wanaotakao kuandamana.
(Mbona mambo ni rahisi Sana)
 
Mkuu usihofu. Maandamano ya Chadema huwa yanafana sana JF. Mitaani huwakuti!!!
 
Usiishi kwa kukariri, yule MAGUFULI ndiyo walipaswa kumfanyia haya maandamano. Instead wakaufyata na kukimbilia Canada na Belgium. Huyu kawaruhusu kufanya mikutano na uhuru wa maoni wanamdharau. Ngoja wagoner NGONDOIGWA
Ni wale wwle tu.

Woga wa maandamano.......hawana tofauti
 
Utawahubiria hao vimbwenerehi wa CCM hadi utachoka.Wakiskia maandamano ya wakinzani hapohapo wanashikwa na haja zote.Mwingine ameomba hadi mdahalo ili tu kuwapooza CHADEMA. Ukiwauliza walikuwa wapi hadi wakinzani wao wahitaji maandamano?Hawana majibu sahihi.
 
Hayo maandamano yataahirishwa siku moja kabla ya tarehe iliyopangwa kufanyika,Tanzania hatuna ujasiri wa kuandamana hasa pale watawala wanapoyapinga maandamano hayo.
 
Jidanganye hivyohivyo. Kama lile li dictator uchwara lilishawahi kuingia uwanjani limejificha kwa gari kwa kumuogopa mange kimambi ambayye hata hayupo nchini itakuwa haya wacha tuone
Si mnajaribu kumfunua majuba ya mama mchungulie kijaruba chake haya yaliyo mkuta ungo!
 
Wake zao walikuwa wanachama wa vyama husika.Sasa kila siku mnakaza viuno kutaka watoto wao waandamane.Kwani wana uanachama au walikwambia kila wafanyalo wazazi wao ni lazima na wao wafanye?
Kumbe unalijua hilo nendeni sisi tupo pale nitaendesha lile gari kubwa la deraya na maji ya pili pili nitawapelekea moto kama siwajui!
 
..Abduli ndiye anayepaswa kushughulikia wapinzani ili kulinda madaraka ya Mama yake.

..Na Watanganyika kuumiza Watanganyika wenzenu ili tutawaliwe na Mzanzibari ni utumwa.
Umemsahau maalimu kipindi kifupi hivi ama kweli siasa ni unafiq!
 
wa hapa stakishari police post tunaanzia, wapi hapahapa au tusogee mbele kidogo?
 
Umemsahau maalimu kipindi kifupi hivi ama kweli siasa ni unafiq!

..siasa ni unafiki kweli.

..walalahoi tunaumizana ili kina Husseni, Abduli, Ridhiwani, Freddy, na watoto wengine wa vigogo wa Ccm, wafaidi "keki" ya taifa.

..Ukiacha ufisadi wanaofanya vigogo bado wanapachika watoto wao ktk nafasi nzurinzuri za madaraka.
 
CDM inajitafutia matatizo uwezi tangaza tarehe ya maandamano kabla ya kupata kibali cha polisi.

Mantiki ya kuandika barua polisi na wao wajipange ili kuweka ulinzi, sio uwataharifu tu halafu uende kujifanyia mambo.

Worst muda na siku ya maandamano ni katikati ya week na wakati watu wapo busy na shughuli za uzalishaji wao wanataka kufunga njia.

Walau ata ingekuwa siku ya jumapili hao makamanda wa polisi wakose sababu ya kuto kutoa kibali na kulinda maandamano, halafu unataka kufanya maandamano pande mbili siku ya kazi huo sasa ukorofi.

Matatizo mengine ni ya kujitakia, halafu likitokea la kutokea watasema wanaonewa.

Chinese proverb โ€˜jemedari asiefikiria madhara ya vita kwanza kwa wanawajeshi wake, hafai kuongozaโ€™ sasa uwezi kuchagua siku na muda wa uzalishaji kufanya maandamano, tena kabla ya kupata kibali cha polisi halafu usijue chances are virungu vitahusika.

Huyo mama aendelee kuwachekea tuone mwisho wake. Kuandamana ni haki ya kikatiba, lakini haki hiyo aina maana itumike kulenga kuharibu shuguli zingine za uchumi ilo ni kosa la jinai kwenye penal code.

Watazamaji yetu macho
 
Halafu wanatung'ong'a kwa kuushangaa umasikini wetu na kusema hawajui chanzo chake.
 
MIJINGA INAROGWA WENZAO WAKIANGALIA OFISINI KINAVHOENDELEA SITAKI KUSE MMA ZAIDI..KUNA MAANDAMANO YA CHAMA KIMOJA WAKATI WANAANDAMANA VIONGOZI WAMEJIFUNGIA LWENGE AC WAKITAZAMA VICHAPOO KWA WAJINGA HUKU WAKICHEKA
NIKOPALEKWAMASAWEEEMKIFIKA
temboni nijulishen nije.
๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ *kusafisha barabaraa namie
 

..MISAFARA ya viongozi inaweza kuleta kero na usumbufu kuliko maandamano ya Chadema.

..Polisi wakionyesha weledi maandamano hayo yanaweza kufanyika kwa AMANI na Tanzania ikawa mfano wa kuigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ