Akili ndogo kutaka kuongea mambo ya kikubwa.Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?
Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?
Ni udini ?
" ukipewa ushauri wa kipumbafu na mwenye akiri na wewe ukaukubali huku unajua ni wa kipumbafu, yule aliye kupa ushauri ata kuzarau"Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?
Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?
Ni udini ?
Walikuwa hawatekwi,wala watu wao kutekwaHakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?
Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?
Ni udini ?
kwanza wewe una IQ ngapi, hebu tuanze hapo maana nisijekuwa namjibu mtu way below my standard.Usitumie kichwa kubebea mate
Kinachopigwa vita sio mtu kumiliki hisa ni gharama za kununua izo hisa 31% za hisa za mgodi wenye life span ya 100 years kwa few billon of money. Tuwe realistic na wazelendo nilikua nategemea majibu kutoka mamlaka husika, kama kapewa government incentive vip kuhusu wachimbaji wadogo ambao kutwa wanapokwa leseni zao kwa wachina? Why there is no government incentive on themRostam mtanzania kumiliki asilimia 70 ya mgodi wa makaa ni makosa lakini Kampuni ya Australia kumiliki asilimia 70 ya mgodi huo huo ilikuwa sawa?Wacheni majungu na husda. Marehemu Magufuli alipomuita Rostam mwekezaji namba moja Nchini hakukua na kelele wala malalamiko. Huu unafiki wa Polepole unaoungwa mkono na manyumbu wenzake ni chuki tu na kutafuta umaarufu.
Nyerere alikua akishauri mambo ya msingi...
Kikwete ameshauri jambo gani la msingi zaidi ya wizi...
Tazama deni la taifa, rudi hapa ufafanue hiyo pesa imefanya kazi gani?
Ulilalamika pia walipopewa wazungu kutoka Australia?Wazungu wakipewa majority share ni sawa.Akipewa mtanzania basi ni kosa na maswali ya Government incentives yanajitokeza.Mlikuwa wapi kuhoji ilipopewa kampuni ya wageni?Kinachopigwa vita sio mtu kumiliki hisa ni gharama za kununua izo hisa 31% za hisa za mgodi wenye life span ya 100 years kwa few billon of money. Tuwe realistic na wazelendo nilikua nategemea majibu kutoka mamlaka husika, kama kapewa government incentive vip kuhusu wachimbaji wadogo ambao kutwa wanapokwa leseni zao kwa wachina? Why there is no government incentive on them
Kampuni za wageni zimepewa hizo share kitambo tokea kwa mkapa na watu walisema , magufuri kabadilisha sheria za madini zenye tija bila kuzingatia uhalisia watu walisema na hadi leo zina itia gharama serikali na watu wanasema.Ulilalamika pia walipopewa wazungu kutoka Australia?Wazungu wakipewa majority share ni sawa.Akipewa mtanzania basi ni kosa na maswali ya Government incentives yanajitokeza.Mlikuwa wapi kuhoji ilipopewa kampuni ya wageni?
Kuchimba sio tatizo, je utaratibu sahihi unafuatwa? Kama ni sahihi basi taifa linufaike na huo uchimbaji tuone maendeleo kupitia pato linalotokana na uchimbaji makaa ya mawe. Sasa ardhi ni ya serikali ila yenyewe imepewa 30% tu huku 70% inamilikiwa na watu binafsi na wanatorosha madini bila kuchangia lolote.K
Kwanini we hukuenda mnadani ukabid na wewe, laumu umaskini wa ukoo wenu. Ulitaka nani achimbe hayo makaa ya mawe. Kwanza ht hujui unalozungumzia zaidi ya kumeza na kukariri uzushi wa humu mitandaoni.
Kikwete ni mstaafu lakini akili zake ni kama zako tu. Hafai kuwa hata mshauri wa familia yakeHakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?
Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?
Ni udini ?
Kuna mtu alikua anapigwa spana na kanisa kama jiwe?Si alikua mkatoliki mwenzao, yule gaidi wa kikatoliki Magufuli alivyokua madarakani kateka na kuua kapiga risasi kina Lissu ila hatujaskia wakifunga Novena tukaona wanampa vikapu achangishe sadaka kanisani
Acha unafiki mzee lini alipigwa spana? Lini tuliskia wakifunga sijui Novena? Si alikua ndo akienda kanisani akisali lazima ahutubie kanisani na kubeba kikapu cha sadakaKuna mtu alikua anapigwa spana na kanisa kama jiwe?
Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?
Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?
Ni udini ?
Kinembe kwenye 1 na 2 . Sisi huwa kama hatuna akili. Sababu hatupendi Ili Duniya. Watu wanatudharau sana.Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?
Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?
Ni udini ?
Umechanganya ID hapa. Ulianzisha na ya Kinembe umekuja kujibu kwa hii ya LuchaAcha unafiki mzee lini alipigwa spana? Lini tuliskia wakifunga sijui Novena? Si alikua ndo akienda kanisani akisali lazima ahutubie kanisani na kubeba kikapu cha sadaka
Ushenzi wa wanachukua chako mapema,haukuwa umefikia viwango vya leo.Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?
Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?
Ni udini ?
Huyo critic wa Rais ulimsikia akiwa anakosoa kwenye Urais wa Mkapa?Wacha kusifia utawala watu walivaa matambara na kupika chai kwa sukari guru.Ukionekana na sabuni ya Imperial au Jeans unakamatwa kwa kuhujumu uchumi.Umezaliwa lini wewe pimbi?Maelfu ya watu waliporwa nyumba na mashamba yao.Tofauti ya Nyerere na Kikwete ni kuwa Nyerere alikuwa critic wa rais aliyeko madarakani wakati Kikwete ni Chawa wa rais aliyeko madarakani.
Acha kabisa kumlinganisha mwanafalsafa na chawa