Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene ahamishiwa Utumishi na Utawala Bora, Jenista arejeshwa Sera, Bunge na Uratibu

Huyu Jenista hata huwa sioni ufanisi wake, sijui ana kizizi.

Maana tokea enzi ya Kikwete amchague ,hajawahi kosa uwaziri.

Ninadhani ni waziri pekee mwanamke ambae hajawahi kukosa kwenye teuzi, tangu ateuliwe kwa mara ya kwanza na Kikwete.
 
Yule stupid bado ameachwa daaaaa.
 

Itoshe kusema Bi Mkora hajielewi!
 
Wale wezi wa mabilioni ya ndege ya mizigo naona hawajaondoka bado, wanasubiri Mh. Rais awalime barua kali
 
Daa ama kweli hatuna rais kwa hiyo hapo ndo mwisho wake wa kufikira umeeshia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…