Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene ahamishiwa Utumishi na Utawala Bora, Jenista arejeshwa Sera, Bunge na Uratibu

Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene ahamishiwa Utumishi na Utawala Bora, Jenista arejeshwa Sera, Bunge na Uratibu

Ni vile tu jenista tunguli zinambeba, huyu mama alitakiwa apumzike alee wajukuu hakuna alifanyalo[emoji3061]
Alisoma chuo Cha ualimu Korogwe. Labda mganga wake Yuko Korogwe. Korogwe Kuna uganga Fulani ukiufanyiwa huwezi kutolewa kwenye ulaji, mpaka uteme hiyo hirizi.
Huu uganga wanafanyiwa walio uchinja ili wabaki hapo hapo. Ukiufanyiwa wewe maskini imekula kwako.
 
..................
..................
..................

Nina njaa, sina muda hata wa kujidhihirisha na taarifa/ kufikiri....kwani hawa walikuwemo kwenye Ripoti ya CAG?
 
Jenista amerudishwa kule kule, yaan huyu mama mganga wake ni kibokoooo,. Khaaah

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu Jenista hata huwa sioni ufanisi wake, sijui ana kizizi.

Maana tokea enzi ya Kikwete amchague ,hajawahi kosa uwaziri.

Ninadhani ni waziri pekee mwanamke ambae hajawahi kukosa kwenye teuzi, tangu ateuliwe kwa mara ya kwanza na Kikwete.
Na huku jimboni, wananchi wamemuambia agombee hadi achoke yeye, tena atafute wa kumuachiaaa.

Wangoni tumepatwaaaa wallah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwamba ndio amefanya nini?

Siku zijazo, tuweke sheria ya kubana hizi teua tengua; ukitengua unatupa na sababu, kwanini unamtoa A unampeleka B, sio kujifanya Miungu kwamba mfanyayo ni unquestionable.

Kwahiyo watu wanakula Per diem kesho kwenye uapishwaji?

Vikao vya makabidhiano ya ofisi, manunuzi ya fenicha na gari la Waziri mpya n.k
💯
 
20230401_044750.jpg
 
Ndio maana yake mkuu
 
Back
Top Bottom