Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TISS si iko chini ya mzee mzima Mkuchika?Kwa hiyo Simbachawene ataiongoza TISS na TAKUKURU,yenye pamoja na Ridhiwani.
Alisoma chuo Cha ualimu Korogwe. Labda mganga wake Yuko Korogwe. Korogwe Kuna uganga Fulani ukiufanyiwa huwezi kutolewa kwenye ulaji, mpaka uteme hiyo hirizi.Ni vile tu jenista tunguli zinambeba, huyu mama alitakiwa apumzike alee wajukuu hakuna alifanyalo[emoji3061]
Yaani naamini mpaka Mungu ana shangaa😳😳Kuna baadhi ya watu ikulu wanaapa karibia kila siku
Business as usualUkivurunda hapa, unapelekwa pale, akivurunda hapa, unapewa kazi nyingine.. nchi ya wenyewe hii.
Naunga mkono hojaMi naona hakuna sababu ya kupewa viapo tena akifika aambiwe kiapo alichoapa aendelee nacho hii kila siku mtu anaapa tunamchosha Mungu bila sababu.
Na huku jimboni, wananchi wamemuambia agombee hadi achoke yeye, tena atafute wa kumuachiaaa.Huyu Jenista hata huwa sioni ufanisi wake, sijui ana kizizi.
Maana tokea enzi ya Kikwete amchague ,hajawahi kosa uwaziri.
Ninadhani ni waziri pekee mwanamke ambae hajawahi kukosa kwenye teuzi, tangu ateuliwe kwa mara ya kwanza na Kikwete.
Msumbiji mchezooo? Famasikhara nn.Hahah Hilo hirizi la mhagama si la nchi hii[emoji1787][emoji1787][emoji1784]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dawa za kingoni sio mchezo
Haswaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni vile tu jenista tunguli zinambeba, huyu mama alitakiwa apumzike alee wajukuu hakuna alifanyalo[emoji3061]
💯Kwamba ndio amefanya nini?
Siku zijazo, tuweke sheria ya kubana hizi teua tengua; ukitengua unatupa na sababu, kwanini unamtoa A unampeleka B, sio kujifanya Miungu kwamba mfanyayo ni unquestionable.
Kwahiyo watu wanakula Per diem kesho kwenye uapishwaji?
Vikao vya makabidhiano ya ofisi, manunuzi ya fenicha na gari la Waziri mpya n.k
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Kazi Maalum, Kapteni Mstaafu wa JWTZ, George Mkuchika.TISS si iko chini ya mzee mzima Mkuchika?
Ama Mkuchika anashughulikia mafaili yepi?
Ndio maana yake mkuuKwamba ndio amefanya nini?
Siku zijazo, tuweke sheria ya kubana hizi teua tengua; ukitengua unatupa na sababu, kwanini unamtoa A unampeleka B, sio kujifanya Miungu kwamba mfanyayo ni unquestionable.
Kwahiyo watu wanakula Per diem kesho kwenye uapishwaji?
Vikao vya makabidhiano ya ofisi, manunuzi ya fenicha na gari la Waziri mpya n.k
Mzizi aliooga Jenista siyo wa nchi hii.Alafu Elimu yake ni Diploma ya uwalimu tu!!!