SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Huyo aliachiwa mikoba na kaka yake yule Profesa MajimarefuJenista amerudishwa kule kule, yaan huyu mama mganga wake ni kibokoooo,. Khaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya sasa Watu wa TISS mmeletewa Boss mpya bila shaka mtampa Ushirikiano mkubwa japo kwa sasa Wasukuma wanaonekana ni Maadui na hawaipendi Awamu ya Sita ya Kilazima.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri kama ifuatavyo:
Amemteua Mhe. Jenista Joakim Mhagama (Mb) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu). Mhe. Mhagama anachukua nafasi ya Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb). Kabla ya uteuzi huo alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Amemteua Bw. George Boniface Simbachawene (Mb) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mhe. Simbachawene anachukua nafasi ya Mhe. Jenista J. Mhagama (Mb). Kabla ya uteuzi huo Mhe. Simbachawene alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu).
Uteuzi huu umeanza tarehe 01 Aprili, 2023.
Mawaziri wateule wataapishwa tarehe 02 Aprili, 2023 saa 3 asubuhi, Ikulu, Dar es Salaam.
View attachment 2573265
Naona wengi mnawaza tofauti na mimi....mi niliwaza huenda amerudishwa kwenye hiyo wizara ili ajibu vizuri hoja za report ya CAG itakapofikishwa bungeniMzizi aliooga Jenista siyo wa nchi hii.Alafu Elimu yake ni Diploma ya uwalimu tu!!!
Ukivurunda hapa, unapelekwa pale, akivurunda hapa, unapewa kazi nyingine.. nchi ya wenyewe hii.
Hawa Mawaziri kila Mabadiliko wamo inaonyesha uwezo wao wa kudumu kwenye Wizara moja hawajiwezi nadhani Mama angewapumzisha tu mbona kuna Watanzania Mil.60Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri kama ifuatavyo:
Amemteua Mhe. Jenista Joakim Mhagama (Mb) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu). Mhe. Mhagama anachukua nafasi ya Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb). Kabla ya uteuzi huo alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Amemteua Bw. George Boniface Simbachawene (Mb) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mhe. Simbachawene anachukua nafasi ya Mhe. Jenista J. Mhagama (Mb). Kabla ya uteuzi huo Mhe. Simbachawene alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu).
Uteuzi huu umeanza tarehe 01 Aprili, 2023.
Mawaziri wateule wataapishwa tarehe 02 Aprili, 2023 saa 3 asubuhi, Ikulu, Dar es Salaam.
View attachment 2573265
Haya sasa Watu wa TISS mmeletewa Boss mpya bila shaka mtampa Ushirikiano mkubwa japo kwa sasa Wasukuma wanaonekana ni Maadui na hawaipendi Awamu ya Sita ya Kilazima.
RAI yangu Kwako Simbachawene hiyo Docket umepewa Kimtego ili upashindwe na sababu ya kukutoa rasmi iwepo.
Pia umeteuliwa hapo Kimkakati zaidi ili uweze Kukidhibiti vyema Chama Kipya ( kinachojiandaa Kimya Kimya ) chenye Pro Hayati Msubi wa Chato wengi kisije kuwa Kikwazo Kiushawishi na Kisiasa kwa Aliyekuteua.
Kuwa makini sana katika hiyo Docket.
Hisia zako kaliNaona wengi mnawaza tofauti na mimi....mi niliwaza huenda amerudishwa kwenye hiyo wizara ili ajibu vizuri hoja za report ya CAG itakapofikishwa bungeni
Kaoga mzizi wa mninga uliochanganywa na mzizi wa mkuyu,akachinjiwa kondoo mweusi.Mkojani hapindui ufundi wa Jenista!Jenista amerudishwa kule kule, yaan huyu mama mganga wake ni kibokoooo,. Khaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanacheza draftiUkivurunda hapa, unapelekwa pale, akivurunda hapa, unapewa kazi nyingine.. nchi ya wenyewe hii.
Sasa SimbaChawene kashughulike kisawasawa na Watumishi wote wanaokutwa na makosa ya kuiba..
Usiwahamishe bali waondoe kazini. Jenista alikaa kimya tu na kucheka cheka nao. Hata kuwahamisha alishindwa.
Simbachawene umeaminiwa na sasa kawaondoe wote wenye kashfa.
Mkuchika alipokuwa Utumishi,alikuwa anaongoza TISS. Kama amehama nayo ,sijui.TISS si iko chini ya mzee mzima Mkuchika?
Ama Mkuchika anashughulikia mafaili yepi?
Huyu hajawahi kuweza popote, mpaka kuna kipindi nafikiri ni chakula cha Mtu Fulani.Huyo mama ilikua ni suala la muda tu, yeye na kakake ndumbaro waliharibu sana wizara masuala ya ajira na maslahi ya watu.
Akwende huko bungeni
Kabisa unategemea hilo litokee?Wale wezi wa mabilioni ya ndege ya mizigo naona hawajaondoka bado, wanasubiri Mh. Rais awalime barua kali
Hakuna kitu kaka, nyama wameshazila hao hao wanaohamishwaTuendelee kula mtori....