Haswaaa kachanganya na za msumbiji, bas watu wa vetting wanaliona jina lake tyuuh juu likizunguka.Huyo aliachiwa mikoba na kaka yake yule Profesa Majimarefu
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Yaan Jenista anajua kujibu hoja vizuri? Hauko serious wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona wengi mnawaza tofauti na mimi....mi niliwaza huenda amerudishwa kwenye hiyo wizara ili ajibu vizuri hoja za report ya CAG itakapofikishwa bungeni
Afu mwaka 2020 alifanyiwa tambiko na zindiko milima ya chihangi, pale Namatuhi.Kaoga mzizi wa mninga uliochanganywa na mzizi wa mkuyu,akachinjiwa kondoo mweusi.Mkojani hapindui ufundi wa Jenista!
Ndyoo ni chakula yake tangu akiwa kwenye kitiii. Na hawaachani hawa, si ilitokea ugomvi na yule mama wa UWT mkoa, wakati wa ile ziara yake mzee wa kiti, kabla hajaondokaa jumla kukalia kitiHuyu hajawahi kuweza popote, mpaka kuna kipindi nafikiri ni chakula cha Mtu Fulani.
Nasikia ....anaua waliomzungukaAfu mwaka 2020 alifanyiwa tambiko na zindiko milima ya chihangi, pale Namatuhi.
Mama mlozi huyuuu, khaaaah
Huko kuapishwa si walishaapa kwa hizo nafasi huko nyuma?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri kama ifuatavyo:
Amemteua Mhe. Jenista Joakim Mhagama (Mb) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu). Mhe. Mhagama anachukua nafasi ya Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb). Kabla ya uteuzi huo alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Amemteua Bw. George Boniface Simbachawene (Mb) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mhe. Simbachawene anachukua nafasi ya Mhe. Jenista J. Mhagama (Mb). Kabla ya uteuzi huo Mhe. Simbachawene alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu).
Uteuzi huu umeanza tarehe 01 Aprili, 2023.
Mawaziri wateule wataapishwa tarehe 02 Aprili, 2023 saa 3 asubuhi, Ikulu, Dar es Salaam.
View attachment 2573265

MumeweNasikia ....anaua waliomzunguka
Daàaà Hapana aseee siwezi bora kuwa masikini....Mumewe
Mzazi
Mdogo ake
Binamu yake.
Hawa wote kawaua, na ikitokea kuna mgombea anashindana nae ana mloga,
Kwa Joseph alishindwaa, alirudishwa yeye alianguka chooni, mshike mshike ndo wakaamua kugawana jimbo, Joseph akachukua Madaba, yeye akabaki Peramiho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ana muogopa mno Joseph. Lol
Mmh! Mbona unamchafua mtu kwa Taarifa za kusikia?Nasikia ....anaua waliomzunguka
Kua uyaone mwana....nenda jimboni utanielewaMmh! Mbona unamchafua mtu kwa Taarifa za kusikia?
😂 best comment of the monthKuna baadhi ya watu ikulu wanaapa karibia kila siku
Mngoni kumbe basi utakuwa mrembo hasaa [emoji28]Na huku jimboni, wananchi wamemuambia agombee hadi achoke yeye, tena atafute wa kumuachiaaa.
Wangoni tumepatwaaaa wallah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu ndiyo maana kanapenda sana yale mambo yetu, kwa maneno kanaonekana kama fundi, sijui vitendo sasa!!!!!!!!!!Mngoni kumbe basi utakuwa mrembo hasaa [emoji28]
Usiseme hivyo endelea kushuka na thread utakutana na zaidi ya hii 😄😂 best comment of the month
Huyu ni mlozi wa kutupwa ila mwisho wake utakuwa mbaya kama wale vigagula wanaomezaga hirizi🙏Nasikia ....anaua waliomzunguka
Nyie mnaweza chukulia masihara kumbe mwenzenu kesharogwa hata hajui anachokifanya masikini.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri kama ifuatavyo: